Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkishaona hadi united wanafikia hatua hii ya kulinganisha Nunez na Martial...basi LiVER mjue hamna washambuliaji bali mnaungaunga tu.
#UkweliMchunguHuu 😂😂😂😂😂

 

Kazi ipo. Japo hii ina ukweli fulani lakini mambo mengine tunajiangusha wenyewe kwani wapo wachezaji wa bei chee ambao naamini wangetuweka pazuri ki ushindani lakini unavyokua na matajiri wa kukomaa na capping ya mishahara na sell to buy policy ndio tumejikuta hapa.
Timu imejaa wagonjwa aafu ma pundits wanaonaga mapesa ya Mansour tu kama inawapa nafuu Citizens sisikiagi wakisema idara ya scouting pale Manchester City ipo vzuri sana ukitazama wanavyonunua utaona they rarely make mistakes kwenye usajili wao...Pep ni combination ya finance na proper scouting imemfanya kung'aa.

Sasa unajiuliza Ox, Keita, Milner, Matip walimshikia bastola Klopp wasiuzwe... Kua na squad depth ambao wengi wanakua wodini haisaidii kamwe kama leo haijulikani nani patna wa VVD.

Lady luck kindly shine on us.

YNWA
 
Milner vvd Gomez Robo

Vs

Foden halland benardo
Yupo Phillips hatuhitaji Milner babu atulie huko huko.

Mara pap Klopp aje 3 4 2 1
3 Gomez VVD Tsimikas
4 Henderson Fabinho Jota Fabio
2 Firmino Salah
1 Nunez
mambo yanakua mambo.

Kazi ipo.

Its scary facing Manchester City when we are this deep shit man.

YNWA
 
Oil Money noma sana. Hivi si waje wainunue na Liverpool tule ma good tymz

Net spend ya Manchester City £ni 481m tangu 2016. Awesome. Ela tamu sana.




Net spend = manunuzi ya wachezaji - mauzo ya wachezaji.


Net spend ya Liverpool ni £170.3m from 2016 mpaka sasa.




YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…