Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo livapunga nawaunga mkono , pigeni hizo takataka za asenyeto ,zina mdomo Sana ,pigeni hizo mbwa zianze kurudi kwenye positions zake , takataka kama asenyeto ni aibu kuwa Ile position , Ile top position pale ni sacred ,asenyeto kuwa pale ni udhalilishaji ni kama mtu kwenye kujisaidia nyumba ya ibada .
 
Leo ndo tunaanza ligi ipo hivi, leo LAZIMA tushinde Tena ushindi mzuri tu. Najua mashabiki wa arse8 watadiss Ila ndo ukweli graph yao inaanza kushuka Leo rasmi. City atabaki namba moja huku pupils wakibaki mbili. Ndio watakavokua wanashuka taratibu Hadi mwisho wa msimu watakaua wanapigania top four...
Liverpool 3 Arsenal 1

#YnWa
Hamna huwezo uo kwa sasa, nyakati zenu zimeshapita
 
Msianze kumlaum Nunez aisee, Nunez angeenda man city saiv nako angufunga tu ni kulingana na nafasi anazo tengenezewa, Haaland anatengenezewa nafasi nyingi tofauti na Nunez mkuu.
Halaand pia anauwezo sio kutengenezewa tu
 
Klopp analenga vilema tu anatujazia hii ni danganya toto huezi muacha Nunez mido tam kabisa na umri mdogo ukabebe Athor ambae kimsingi sio m baya ila ameshaonekna kama ni kimeo kwenye tim hivyo atolewe tu yey kabeba.

Tunatia aibu sana msimu huu
Arthur yuko Liverpool kwa mkopo ndo nnavyojua

Kuhusu Nunez hilo swala usilirahisishe kihivyo haya Mambo ya usajili yanahitaji mipango, timing cyo tu kwamba unaenda pale ureno unamchukua unamleta Liverpool Kama kwenye PlayStation
 
Kule high table ina wenyewe bana
Viti vile vinne vina wenyewe
Sisi Chelsea tumeshakalia kiti chetu, kilichobaki ni kubadilisha tu position, iwe ya kwanza, ya pili au ya tatu
Bado kuna mmoja kanyang'anywa kiti sijui anaweza kukidai au ndoo tena imekwisha hiyo.
Leo tuone kama mtaweza kuanzisha kampeni ya kudai kiti chenu kwa Arseanali
 
Hata msimu uliopita mlisema hivyo hivyo,tukawafunga mechi zote nne na hamkutufunga hata goli moja kwenye mechi tulizokutana narudia tena hata goli moja hamkutufunga na wakati mlikuwa kwenye form.

Hamjawahi kusema tunawafunga.hata kwa Man U mlisema hivyo hivyo na mkafungwa tena kwa aibu goli 3.
Duh.....nimecheka,
 
Liverpool all the way
Sisi tuna Mungu,wao wana Shetwaini
In Klopp,we believe
 
IMG_4836.jpg
 
You deserve kuwa fan wa LIVERPOOL

Umeongea kisoka sana
Japo mpira unamatokeo matatu. Lolote linaweza kutokea
Mkuu hii ipo wazi sana Liverpool "inakatika" under presha na tena kwa wachezaji tegemezi ambao ni Trent, Salah, VVD, Fabinho...hawa ndio nguzo ya Liverpool na kwa sasa maswali ni mengi juu yao...

Arsenal ni wakati wao. Wautumie vyema sana kwani EPL hua haina mwenyewe japo sasa Halaand anataka kuimiliki kwa kasi ya ajabu, poor defenders...

Ngoja tuone Klopp anatuletea mfumo upi leo.

YNWA
 
watapata goli ila na sisi tutapata magoli, Arsenal ni wazuri kwa hizi timu ndogo ndogo, kwa timu kubwa bado ni wadhaifu ( ukiacha Spurs ambao wamezoeana na Arsenal)
Na Liverpool kwa sasa hata timu ndogo ndogo washatujulia hivyo na Arsenal naamini wamefanya homework yao vizuri watapata matokeo...

Game on.. Lets enjoy

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom