Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Game yoyote bila Milner inawezekana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaweza ukadhani kwamba uwepo wa Klopp pale Liverpool labda unategemea na maamuzi ya Henderson anahisi akimuudhi Henderson kwa kumuweka Benchi ataivuruga Dreessing room Ndiyomana anambembeleza Henderson kwa kila kitu.
Huyu jamaa atakua pale klabuni ni very influential maana hata acheze vipi kiwango kiwe vipi bado yumoo kikosini... Klopp anajua wapi amekamatika sie tunataka ushindi sio bla bla za upepo, barafu nk.

YNWA
 
Mkuu hatujificha humo kwa hao jamaa wawili.. Ishu ni kwamba msimu huu pekee wametucost zaidi ya goli nne, sasa mbona wengine wakisababisha magoli Klopp anawatia benchi au sub fasta bila kupepesa macho...

Hili la kiwango cha Fabinho, VVD, Salah nk lipo wazi timu yote standards zimeshuka kuanzia sprinting, running, shot, crosses nk haijaja kwa bahati mbaya mengi yanachangia kuanzia wachezaji kua loss of form n timu pinzani sasa kutujulia mfumo wetu ni ule ule miaka yote hata pale Klopp anabadilisha inakua too late...
Lukaku haya pale Chelsea alisema na soon Klopp asipokua makini Nunez nae atasema, muda hua haudanganyi....

YNWA
 

Naamini wewe si mgeni hapa hawa uliowataja tulishawajadili sana hapa wala hakuna anayeonewa aibu! Pitia posts za kuanzia mwaka 2020 utaona tuliongea nini kuhusu Firmino.
Pia kuhusu TAA sidhani kama kuna mshabiki wa Liverpool ambaye hajui kama ana poor defending skills.
Kuhusu VVD kushuka Kiwango nayo upo obvious.
So, hayo yote hayafanyi tusiongelee ubovu wa Milner na Henderson.
 

But hiyo Level unayoisema bado Klopp hajafikia, kwa miaka 7 aliyokaa Liverpool Klopp alideserve more than 1 EPL and 1UCL.
His pride ndiyo imemueka pale alipo.
 
Nyie liverkibidu pamoja na kushinda lakini mmekimbia Jukwaa lenu?
Wadau wenu tumemis vile viingreza vyenu vya kuchambulia maharage.
Saint Anne ukuje hapa haraka sana best yako OllaChuga Oc anataka akupongeze kwa ushindi wenu wa mchongo.
Sasahivi Livapoor nitiamajitiamaji, wachezaji wanacheza kama wamelazimishwa , wanacheza utafikiri wanafanya mazoezi.
 
Nyie liverkibidu pamoja na kushinda lakini mmekimbia Jukwaa lenu?
Wadau wenu tumemis vile viingreza vyenu vya kuchambulia maharage.
Saint Anne ukuje hapa haraka sana best yako OllaChuga Oc anataka akupongeze kwa ushindi wenu wa mchongo.
Akina Ollachuga hata ushindi wa mchongo walikosa.

Sisi Liver timu kubwa ,tunashinda na haturingi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…