Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nikweli kabisa, kama Salah, VVD,TAA, Babu Milner ,Fabinho, Robertson na Allison Dah! Hawa jamaa kila game wamoo labda huwa wanahurumiwa FA tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
imefika hatua VVD akiwa anakaba akiweka mguu akapitwa ananyoosha mikono juu kabisa kumruhusu mtu apite na mpira huku akisema wengine nao wakakabe Sasa ,hawezi hata kufanya tactical foul kumzuia ,TAA na yeye hivo hivo ,Hana uwezo Tena wa kusimama na mtu asimpite ,akipitwa tu basii anabaki nyuma anajog anamwachia Gomez ,gomezi nayeye akiweka mguu akapitwa ananyoosha kabisa na mikono ,ili asimchezee foul kumaanisha kuwa "pita baba Mimi nishafanya Kaz yangu[emoji23][emoji23]" anabaki Allison pekee yake na goli ,Sasa unafiki Nini kitafuata Kama sio kupigwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nacheka sana nikifungua TL ya James Pearce he cant write off his BREXIT boys Milnerson they always get a free pass! Keita or thiago are nowhere near the starting line up no one to throw the broken house[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikweli kabisa, kama Salah, VVD,TAA, Babu Milner ,Fabinho, Robertson na Allison Dah! Hawa jamaa kila game wamoo labda huwa wanahurumiwa FA tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miili imeshachoka kocha anatakiwa kuongeza upana wa kikosi ili kuwe na rotation
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha ww jamaa ni bonge la story teller...
 
Hv kweli ww mchovu na timu lako limetimua Hadi kocha nguvu unatoa wap ya kutupa ss nafas ya saba??
Achana na sisi ..sisi Ni Chelsea ..kufukuza makocha wanaofeli ndio falsafa yetu. Sisi tunataka Makombe. Tena Yale makubwa. Subiri tulia pira, kokoto, pira biriani linakuja. Mutajuta kutufahamu.
#CFC💙💙💙
 
Mkuu Chaliifrancisco mambo ni mengi muda ni mchache sana.

Ki ukweli hali tulionao haijaja kwa bahati mbaya kabisa sababu zipo nyingi na dalili zilishaanza tangu January 2022 au pengine huko nyuma lakini kwa sababu tulikua tunashinda gemu zetu hakuna alieona hili kama janga tarajiwa tuanze na ishu ya Mane


Upande wa Mabeki pana tatizo kubwa sana kwa wote waliopo. Kuumia kwa Konate na Matip kumewarudisha Phillips, Gomez na dhahiri kabisa huku ikiwa na taztio kwa VVD kukosa msaada anaohiyaji. Hatupo compact.

kwa sasa timu inakosa intensity, hakuna energy, hatuna balance kikosini tupo tupo... Na hii inatuleta presha kushambuliwa.



Hakuna collective play na hii inafanya wachezaji kutojituma kutoka kwa Liverpool..

hatuna all round action MF. Dirisha limefungwa ikiwa hakuna wachezaji wa kusaidiana na Thiago. Hapa Klopp amefeli kabisa.

honestly tupo kwenye crisi wachezaji hawana morale hata ya kukimbia. Timu tulizokutana nazo wamesha tujua kwamba ua RB na LB na na magili tunapigwa
Msimu huu tumezidiwa karibu kila eneo na timu nyingi na hii inatokana na uelewano mdogo wa wachezaji wetu especially katikati ya uwanja. Ukicheza 4 3 3 lazima RMF na LMF wacheze kama RB na LB pindi tunashambulia lakini kwa sasa pia wenyewe wanaingia kwenye 18 kusaka magoli na pale tukipokonywa mpira tunaanza kuhaha sababu nyuma anakuwepo tu Fabinho Gomez na VVD.. Na sababu Fabinho hanaga mbio utaona hapo mabeki watazidiwa..

Tunaacha space nyingi sana uwanjani na timu wameshajua namna ya kutumia vyema nafasi.

Yankees kuuza timu ni ngumu sana kwa Liverpool inawavutia sana wawekezaji kuweka FSG kwa mfano RedBird walionunua Ac Milan wameuziwa hisa kadhaa pale FSG na hawa walivutiwa na FSG sababu ya Liverpool na si kingine hivyo ndugu usitegemee jamaa waachie hii timu leo wala kesho tunao sanaaa.

Tatizo lingine ni Klopp mwenyewe kutowaamini wachezaji wengine na ni kama mtu wa visasi vile yaaani yeye ana kopi na ku pasti..kiwango cha Henderson, Robertson, Milner kimeshuka sana lakini bado anawakomalia kama vile benchi halina wachezaji wengine, na kwa sababu ya pride atazidi kukomaa nao mpaka pale wanapata majeruhi.

Timu hua zina evolution baada ya miaka kama 4 inatakiwa major shake up ya kikosi kuanzia mbele mpaka nyuma kuleta wachezaji wenye njaa na ari mpya kikosini huku kwetu ni business as usual kilichompa mafanikio mwaka 2018 anakomaa nacho hata kama umri, form kua kikwazo...

Tuwe na subira pengine akipona Thiago atakuja na jipya maana hawa waliopo hawajiamini kabisa.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…