Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kocha wetu si m bunifu na nimuoga pia hajiamini yani unapanga nunez kwenye 3 3 naa viungo watoto
Wanao ibeba hiyo staili ni Mane na Firmino hawapo bado unaitegemea dah
 
Muda huo mnajipanga, unadhani tutakuwa tumelala?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Umeona usajili tulofanya? Wewe huyiogopi Chelsea wewe? Ninyi liverkuku sioni kama unayo timu ya kutufunga msimu huu.? Huyu Diaz na Nunez watapita wapi mbele ya ukuta wa Koulibaly, Fofana na Silva? Labda watingishe wowowo akina Silva na Fofana wajisaau😂😂😂😂😂🤣🤣
 
Nyie nani ataenda kuwafungia mabao??
Subiri Mendy atingishe huku sisi tunatikisa nyavu[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…