Alisikika mlevi mmojaHata kama ameondoka ,mpira lazima uendelee..kwani hakuwa akicheza pekeyake.
Juhudi za wote kwa pamoja ndizo zilizoisukuma timu kufika ilipo.
Tunaye Diaz... Salah bila Mane anahangaika,ila pia Mane bila Salah naye atammiss tu.
YNWA
Sasa mbona Mmepigwa na Southampton kama nyie siyo wabovu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waleteee waleteeeee[emoji91][emoji91][emoji91]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
AfadhaliKlopp kathibitisha kuwa Captain Heddo atakuwa nje kwa muda baada ya kuoata majeruhi kwenye ushindi wa jasho jana dhidi ya Newcastle united. Sasa ni muda wa Klopp kuwaamini Elliott na dogo Calvalho.
Wewe kwa sasa ni pigwa pigwa FCHata ww ulipigwa na nyumbu hatujasahau.
Wewe subiri hata ukutane na Conte tu.... Ndio utajua kuku zako zako zinaliwa na utitiri.
Timu lenu limezama darajani wewe unahangaika na timu ya dunia Liva.Wewe subiri hata ukutane na Conte tu.... Ndio utajua kuku zako zako zinaliwa na utitiri.
Klopp anasajili saiv free agent players [emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri kikosi kikae sawa home Moto tutakaopeleka. Yani tutapeleka Moto Hadi mchakae nawaaambiya..Wewe wa kwako wa mchongo uko wapi?
Muda huo mnajipanga, unadhani tutakuwa tumelala?Subiri kikosi kikae sawa home Moto tutakaopeleka. Yani tutapeleka Moto Hadi mchakae nawaaambiya..
Mtulie jamaa yangu tunakwenda na Melo sasa...Other teams are signing good players while us we are taking reserve players from Juventus [emoji32]
Ingekua jambo njema Keita asepe zake RB kwani mikiki ya EPL ameshachemka mpaka sasa....What's the saga with Keita MosDef
Has he also been Sakhoed?
Njoo na facts boss tuweze kujua unachopinga ni nn mbona unakuwa Kama siyo "Great thinker"Alafu huyu Arthur Melo Klopp alicho kipenda kutoka kwake ni matege [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Melo mzee wa back pass..klopp katuchoka