Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Hahaha kwa hio Miss Liverpool ukifika Mbinguni ukamkosa Mane ujue umekosea mlango. ππππHawa ni wale waislam wa kweli wanaomjua Mungu.
Huyu jamaa Mbinguni lazima tuwe naye.
Yeye ndiye aliyechanganya[emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Naonq nilichanganya madawa... I meant Mane.
YNWA
Nisipomuona nitauliza mara 2 kuwa jamaa mbona simuoni jamani au tumekosea mlango?[emoji23]Hahaha kwa hio Miss Liverpool ukifika Mbinguni ukamkosa Mane ujue umekosea mlango. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YNWA
Hamna tofauti...wote nyie banda moja tu
Usilinganishe Liver na vitu vya kijinga Mkuu.Hamna tofauti...wote nyie banda moja tu
Kha! Au zile Tisa ndio zimewapa kiburi eeh
Wewe unaweza kufunga 9 bila?Kha! Au zile Tisa ndio zimewapa kiburi eeh
Siku mtu akijichanganya anakula tu.....ngojeni Leo nyukeso wawapunyue vizuriWewe unaweza kufunga 9 bila?
Hizo 9 zenu leo zinawatokea puani.Wewe unaweza kufunga 9 bila?
Nimefurahi kule alipo hajawa flop kama akina Coutinho, Gini nk angalau sasa huu mjadala kwamba Klopp ndio alikua ananfanya ang'ae umezimwa mazima na sasa dogo yupo motoooo sanaaa hapoi....Nisipomuona nitauliza mara 2 kuwa jamaa mbona simuoni jamani au tumekosea mlango?[emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Na aendelee kushine hivyohivyo ili awaprove wrong waliohisi Liverpool ilimbeba.Nimefurahi kule alipo hajawa flop kama akina Coutinho, Gini nk angalau sasa huu mjadala kwamba Klopp ndio alikua ananfanya ang'ae umezimwa mazima na sasa dogo yupo motoooo sanaaa hapoi....
YNWA
Wewe endelea kuotaHizo 9 zenu leo zinawatokea puani.
Baada ya kichapo heavy kutoka kwa Allan Mtakatifu Maximin mtakuja humu kuanza kumtukana Kopo (Klopp) kwa kung'ang'ania kuwachezesha maajuza wa kiingereza.
Prediction
Nyukesto 4 - 1 Liverfool. View attachment 2340993
Hahahaha muda hua haukosei cha msingi ni subira tu.Na aendelee kushine hivyohivyo ili awaprove wrong waliohisi Liverpool ilimbeba.
Ushindweeeee.....Jamani natamani mufungwe na ninyi ili nipate seemu ya kutapika kinyongo changu. Yani natamani kuwapelekea Moto hatari ..mufungwe tu aise.
#CFCπππ
Hivi Soton unawajua vizuri wewe? Je Nu Casto utamuweza?.Ushindweeeee.....
Bila Saint hawa jamaa ni wepesi kama unyoya...
YNWA
Tuwape Tuchel mtupe Klopp?Ati wanasema Tuchel ni "kubwa jinger"
Waleteeeeeeeee...Hivi Soton unawajua vizuri wewe? Je Nu Casto utamuweza?.
Kila la kheri chama langu Nu Casto..