Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Issue sizungumzii uwezo wake! Kinachozungumzia ni Nidhamu yake mbovu, toka mechi inaanza yeye anapiga Viwiko na Vichwa sasa kama ana uwezo akishakula Kadi Nyekundu uwezo wake utatusaidia nini?
 
Taarifa zinadai kuwa Chelsea wako tayari kumlipa Ross Barkley anayelipwa £200,000/wiki ili wafute mkataba ili awe free agent. Inaaminika kuwa Ross Barkley hatakubali labda kama akilipwa mshahara wote

Usimpigie Debe Liverpool hatumtaki 😂😂
Mambo ya kuja kutuganda kama Milner hatutaki.
Nimepeleleza Wachezaji wa Mataifa mengine ni Rahisi kuwaondoa kwenye Timu lakini ukiwa na Mchezaji wa Kiengereza basi kumuondosha kwenye Timu ni kazi kwelikweli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…