Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Halafu anatokea Mpuuzi mmoja anacheza Mechi 1 tu anajiona Star anapiga wenzake Vichwa na kula Umeme! Anyongwe aliyeshauri anunuliwe Nunez.
Yani Red Card yake hajui inavyoicost Timu.
Liverpool ni more than kipaji, bali nidhamu ya mchezo ni muhimu sana.
Hivyo uwezo wa Nunez bila nidhamu sio kitu tunachotaka Liverpool.
 
hatimae leo goli limepatikana upande wa kiungo, goli 1 ndani ya mechi 4, assist 0
 
hatimae leo goli limepatikana upande wa kiungo, goli 1 ndani ya mechi 4, assist 0

Midfield ya Liverpool haina msaada wowote kwa Timu, kuna hilo mwehu linaloitwa Skipper kazi kufoka tu uwanjani! Amshukuru sana Klopp kwa kumletea wachezaji aina ya Keita na OX ashindane nao ndiyomana mpaka leo yeye na Milner bado wanapata number Liverpool.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…