Ama kweli wewe ni mbuzi unasema ratiba kupendelea timu,Palace kapigwa na Arsenal akaja kudraw na Liverpool,Fulham kadraw na Liver anaenda kukutana na arsenal...acheni kukariri nyie
Sitegemei kuona Matip, Ox, Keita wakipewa mikataba mipya Liverpool itakua matumizi mambaya sana ya resources...Ati pure Japanese biscuitsπππππππ
Vile niko na mahaba naye,I want him to stay π€£
na highline pia, magoli mengi tunafungwa counter kina vvd wakiwa mbali kabisa na kipa, na vile umri umeenda hawawezi kukimbizana na kina zahaSitegemei kuona Matip, Ox, Keita wakipewa mikataba mipya Liverpool itakua matumizi mambaya sana ya resources...
Wewe na Matip wako fresh tu utahama nae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikosi kiduchu aafu kimejaa wagonjwa tele asa unadhani nini kitatokea mbeleni huko kama sio vipigo.
Kieta failed project..
Matip ni gambling hujui ni wakati gani atakua fit angalau last season.. alikomaa..
Ox duh dogo kipaji lakini yupo softiiiiiii mno..
Kwa sasa tunahitaji Fabinho arejee uzima wake asilimia 100 na Jota apone tuone sasa Klopp atasingizia nini tena...
YNWA
Mpira haukufai dear. Hatuendagi hivyo.Jamaa aanaongea mno.
Mara anatupiga tena maneno kuwa atabook Hotel mapema..
Nipo curious kuona sababu atakayokuja nayo mwisho wa msimu huu[emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sitegemei kuona Matip, Ox, Keita wakipewa mikataba mipya Liverpool itakua matumizi mambaya sana ya resources...
Wewe na Matip wako fresh tu utahama nae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikosi kiduchu aafu kimejaa wagonjwa tele asa unadhani nini kitatokea mbeleni huko kama sio vipigo.
Kieta failed project..
Matip ni gambling hujui ni wakati gani atakua fit angalau last season.. alikomaa..
Ox duh dogo kipaji lakini yupo softiiiiiii mno..
Kwa sasa tunahitaji Fabinho arejee uzima wake asilimia 100 na Jota apone tuone sasa Klopp atasingizia nini tena...
YNWA
Eti wanaumia kwenye mazoeziπ€£π€£π€£Bora ya matip hata umesema msimu ulipita alikuwa fit muda mrefu lakini hao wengine keita na Ox yaani hapo hakuna msimu wamecheza hata mechi 25.wanakula mishaara ya bure kabisa.
Muda mwingi wako nje,halafu wanaumia kwenye mazoezi tu sio uwanjani [emoji3],
Ni failed project hizo wanatakiwa waondoke haraka sana ndio maana kila timu haziwataki yaani kuumia kila siku.
πππSitegemei kuona Matip, Ox, Keita wakipewa mikataba mipya Liverpool itakua matumizi mambaya sana ya resources...
Wewe na Matip wako fresh tu utahama nae ππππ
Kikosi kiduchu aafu kimejaa wagonjwa tele asa unadhani nini kitatokea mbeleni huko kama sio vipigo.
Kieta failed project..
Matip ni gambling hujui ni wakati gani atakua fit angalau last season.. alikomaa..
Ox duh dogo kipaji lakini yupo softiiiiiii mno..
Kwa sasa tunahitaji Fabinho arejee uzima wake asilimia 100 na Jota apone tuone sasa Klopp atasingizia nini tena...
YNWA
Punguza ramli weweπ
Matip ni solid defender. Hao wengine ni failures, hasa hasa shambalaini anakula mshahara mkubwa tu wa bure. Eti shambalai anakula mshara mkubwa kiliko Mane. Are we joking?Sitegemei kuona Matip, Ox, Keita wakipewa mikataba mipya Liverpool itakua matumizi mambaya sana ya resources...
Wewe na Matip wako fresh tu utahama nae ππππ
Kikosi kiduchu aafu kimejaa wagonjwa tele asa unadhani nini kitatokea mbeleni huko kama sio vipigo.
Kieta failed project..
Matip ni gambling hujui ni wakati gani atakua fit angalau last season.. alikomaa..
Ox duh dogo kipaji lakini yupo softiiiiiii mno..
Kwa sasa tunahitaji Fabinho arejee uzima wake asilimia 100 na Jota apone tuone sasa Klopp atasingizia nini tena...
YNWA
Klopp tunampenda ila sometime huyu mzee anatupanga sana, hivi unawezaje kumuachia Gini kirahisi alafu unaenda kulia na ma yankees yamuongezee milner mkataba ili tupate mido ya milnerson[emoji23]Klopp msimu huu mbona akijichanganya ataelewa mashabiki hawana uvumilivu na bora mwenyewe alishajitoa kwenye mitadao ya kijamii maana huko kuna balaa.
Ukijiuliza kweli ule mshahara wa Milner hupati mchezaji mwenye umri wa chini kutoka Ureno, Ufaransa, Uhispania nk au ni kiburi cha Klopp kutaka kuonyesha wengine yeye hapangiwi...
YNWA
Milnerson katika ubora wao rocking the boat haha in da coast side yaaani tuwe na matarajio kiduchu sana msimu huu maan gemu ya 3 na zote tumetanguliwa kufungwo na tofauti na msimu uliopita ambapo tulikua come back kings msimu huu sioni hata likitokea tena hilo...Klopp tunampenda ila sometime huyu mzee anatupanga sana, hivi unawezaje kumuachia Gini kirahisi alafu unaenda kulia na ma yankees yamuongezee milner mkataba ili tupate mido ya milnerson[emoji23]
πππππππUkiwaza haya mambo hii timu inaweza kukutoa jasho ujue yaaani...Matip ni solid defender. Hao wengine ni failures, hasa hasa shambalaini anakula mshahara mkubwa tu wa bure. Eti shambalai anakula mshara mkubwa kiliko Mane. Are we joking?