Liverpool FC (The Reds) | Special Thread



πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kabadilishia gear angani haha Klopp bhana kwani si alishasema kafunga biashara huku pengo la MF likionekana sasa mbona anaanza kama anatuma ujumbe kwa ma Yankees haha atulie hivyo hivyo tuone maajabu yake.

Huyo replacement wa Kieta atamtoa soko lipi...

Dirisha baada ya dirisha tunazidi kua weak, tulitoa Gini bila kununua mwingine, tumetoa Origi na Takumi bila kuwa replace sasa haya sasa sio kwa bahati mbaya...

Majeruhi ya Thiago, Matip, Keita sio jambo jipya wanajulikana hawa mili yao ni soft bones

Nwa Klopp knows better vision yake anaujua mwenyewe.

YNWA
 
Ama kweli wewe ni mbuzi unasema ratiba kupendelea timu,Palace kapigwa na Arsenal akaja kudraw na Liverpool,Fulham kadraw na Liver anaenda kukutana na arsenal...acheni kukariri nyie
 
Origi alikuwa anatuokoa mechi ngumu kwetu kama ya juzi baada ya wengine wote kugonga mwamba.
 
Find another striker?? Si mmeshampata Nunez mkuu??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 


Aisee... Huku Liverpool bado tunao wachezaji 7 kikosini waliocheza fainali ya UCL mwaka 2018.
Bado wamo hawa hapa
VVD
Salah
Henderson
Milner
Firmino
Robertson
Trent.

Timu imeganda kama barafu haina plan B wala C maana wachezaji ni wale wale mfumo ule ule...kocha wa Manchester United has some tough balls kumweka benchi Muingereza Maguire na Ronaldo gemu kubwa vs Liverpool ilionyesha who is the boss.. Na kwa manufaa ya timu that was needed... Ingekua ishu wangepigwa lakini sasa kashinda inaonyesha ni some tough master call..

Klopp angemsikiliza Anceloti baada ya Fainali ya mwaka huu UCL naamini angeelewa ilivyo sasa rahisi kukamatika na timu pinzani. Yaaani block Trent na Robbo na hatuna jipya. Nilitegemea sana kuona Klopp akitumia 4 3 2 1 kwa kuja kivingine lakini tumo pale pale na 4 3 3 high intensity na kikosi cha wazee wetu...

Goli la Vinicius lilitokea kwa Robbo na kufungwo upande wa Trent baada ya hapo ni kama sasa kila timu pinzani wanakopi mbinu za babu Carlo Anceloti kutuzima...

Klopp asipojiangalia yatamkuta ya Bill Shankly kuwang'ang'ania wazee huku timu kila kukicha wakitujulia mbinu mpya za kutufunga sababu kweli wanataka kukimbiza lakini mwili hautaki...

Kuanzia VVD, Henderson, Matip, Milner, Thiago hawa wote ni over 30 years na wote wakiwa wazima Klopp humwambiii kitu ataweka wote...

Ni muda rasmi sasa Fabio na Bajetic wapewe nafasi ramsi 1st 11 kwa vile sasa wazee wameonyesha kushindwa kwenda na kasi ya vijana.

YNWA
 
Hata tupige kelele vipi lakini wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hua nacheka sana ishu ya huyu dogo Henderson yaaaaani utasikia wakimsema kwa maneno haya.... What a leader, what a captain, a gentleman man in and out of the field... Hahah ajabu husikii stat zake za pass, magoli nk yaaani duniani bahati ipoooooo.

YNWA
 
Sisi Henderson tunaye hadi mwaka 2027πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Babu Milner naye si ajabu atabaki tena
 
Atapangwa kuanza mechi zote na hakuna kitu tutafanyaπŸ˜‚πŸ’”
 
Matip wangu jamani🀣
Klopp aendelee kuziba sikio
 
Atapangwa kuanza mechi zote na hakuna kitu tutafanyaπŸ˜‚πŸ’”
Au ndio alimpigia Klopp pande kuajiriwa Liverpool 🀣🀣🀣🀣maana binafsi sijawai kuelewa yaaani how mpaka sasa Henderson yupo Liverpool... Ilikua Rodgers amuuze sijui alikwama wapi maana hili balaa lisingekuwepo.

YNWA
 
Sisi Henderson tunaye hadi mwaka 2027πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Babu Milner naye si ajabu atabaki tena
Hawa wapo.... Unawaacha Gini na Mane wasepe zao unabakisha wagonjwa hii japo halisemwa kwa sauti ni janga kutoka kwa Edwards na ma Yankees.

Eti Klopp anasema asiulizwe kuhusu kununua wachezaji sio yeye mwenye hayo maamuzi na hapangi yeye nani ananunuliwe na kwa wakati gani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama ni hivyo alitoa wapi yale maneno hategemei kuongeza tena mchezaji yaaani Klopp pasua haelewi ashike lipi aache lipi... Mpaka sasa hana ushindi huku akiwa ametoa ahadi tuwe na tiketi mkononi kwenda ma fainali kibao... Kwa dalili hizi wala hakuna jipya ni same old same old Klopp..

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…