Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,584
- 235,438
Nilikuwa naona sisi wabovu🤠🤠🤠🤠🤠Mmiliki mpya kazi anayo bila Kante kua fit asilimia 100 acheze na Mateo hawa jamaa watateseka kama sie tu🤣🤣
YNWA
Nani afe!?Leo ndo tunazindukia kwenu aise lazima bora hafe mtu pale lakini sio mtufunge.
Mtakatifu Anne Sadio Mane anajipigia zake magoli tu huko, jana kwenye ushindi wa goli 7-0 ametupia mawili yaani mpaka mashabiki wa timu pinzani wanampigia makofi kwa ufundi anaowaonyesha Wajerumani.Nani afe!?
Magwaya huyuhuyu ambaye tumemuongeza kwenye 1st eleven yetu??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna wa kupambana hapo[emoji23]
Niliona hiyo mechi JanaMtakatifu Anne Sadio Mane anajipigia zake magoli tu huko, jana kwenye ushindi wa goli 7-0 ametupia mawili yaani mpaka mashabiki wa timu pinzani wanampigia makofi kwa ufundi anaowaonyesha Wajerumani.
Mwamba anaupiga mwingi kwelikweli huko halafu yuko na furaha kinoma aiseeee, yaani ukimuangalia tu jinsi alivyo na bashasha unajua kabisa huyu Mwamba Liverfool walikua wanamtesa.View attachment 2331376
Leo tuko na chama letu manjestaa 😀😀😀Ollachugaa
Ollachugaaa
Ollachugaaaaaaaa 🤣 😂 😂 😂 💔
Ngoja ikunyoooshe tenaLeo tuko na chama letu manjestaa 😀😀😀
Huhuhuu Hahahahaa, umefufuka eeh? Leeds hao hapomanjestaa piga hizi kuku leo..
Utawaponza wenzio watupe laki nzimaKwa wale wataalam wa kubet, 3.5 over, weka 100k kesho unywe supu ya kuku wa kienyeji kabisa. Kuna magoli ya kutosha leo.
Haina shidaSometimes kocha wenu ana akili za peke yake..
Sasa maana yake nini tuwaanzisha wazee wote wawili kwa pamoja!
Aisee[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]Tuachane na ya Jana ..wale wa manjestaa tujuane leo[emoji112][emoji112]
Wewe endelea kumngoja Magwaya afungePrediction: Manchester united 3 Liverpool 0.
Magwaya will score a goal anytime.
Kuna mawazo sijui huwa wanayatoa wapi[emoji28][emoji28][emoji28] usiwaze hivyo bwana.
Waza Liverpool ata win 7- 0
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app