Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Zingeongezwa hata dakika 10 Hawa nyukesito tulikuwa tunawamangua ....City hawana depth but they have quality.
Kama unakikosi quantity over quality, baada ya 3-1 ingekamilika hivyo hivyo.
Napaona St. James Park pakiwa mahali pachungu kwa vigogo.
OllaChuga Oc nini tena kumbe umesajili ma baunsa wanacheza mieleka uwanjani aisee.Mashabiki wa Chelsea hatutawaona kwenye uzi wetu mpaka tutakapo pigwa na Man u [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwapoteza Jesus na Sterling dirisha hili sio jambo ndogo lakini Pep kama Pep anamuiga Klopp mzee wa kupenda kikosi kiduchu, hii itawacost The Citizens...City hawana depth but they have quality.
Kama unakikosi quantity over quality, baada ya 3-1 ingekamilika hivyo hivyo.
Napaona St. James Park pakiwa mahali pachungu kwa vigogo.
Mendy leo halali kabisa 🤓🤓🤓🤓Tuliwaambia wachaneni na hilo shit njooni chama kubwa LFC..
Ona sasa Tuchel anazidi kukonda tu.
Mnafungwa na timu inakuwaga ya mwisho kwenye ligi😂😂😂😂😂😂😂😂
Pole ya nini sasa Chief Aisee🤣😂🤣😂Jamani mbona mnanicheka badala ya kunipa pole
Man ShyteeeeeeMan city anateseka huko, taratibu tu tutaoneshana makali 🤣🤣🤣
Akiwadakia mwambaMendy leo halali kabisa 🤓🤓🤓🤓
YNWA
Ollachugaa
Hawajui sisi ni Exceptional..shauri zao.Kuwapoteza Jesus na Sterling dirisha hili sio jambo ndogo lakini Pep kama Pep anamuiga Klopp mzee wa kupenda kikosi kiduchu, hii itawacost The Citizens...
Au Mansour kagoma kutoa mpunga jamani...
YNWA
Nawaza tu kesho man UTD akiwafunga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui mtajificha wapiMan Shyteeeeee
Kuna shyteee nyingi zimezunguka mpirani leo alooo[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
Nireteeeni pain killer
Nireteeeni dawa za maumivu
Nasema nireteeeeeni Pain killer aaaaaaaaaaaaa
Kareti siyo kareti babeki😂😂😂😂🔥🔥OllaChuga Oc nini tena kumbe umesajili ma baunsa wanacheza mieleka uwanjani aisee.
Haya sasa kipigo hichoooo.
YNWA
Mbona unawaza mambo ya kusadikika mkuuNawaza tu kesho man UTD akiwafunga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui mtajificha wapi
Eddie Howe, mtaalamu aliyeachana na kazi ya uhasibu na kugeukia ukocha. Mtaalamu wa mbinu na mpira wa kukimbizana whole 90 mins.Zingeongezwa hata dakika 10 Hawa nyukesito tulikuwa tunawamangua ....
Naam Naam Kop. Uwepo wa Jesus na Sterling kulimfanya Pep awe na option kadhaa za kuchange plans zake.Kuwapoteza Jesus na Sterling dirisha hili sio jambo ndogo lakini Pep kama Pep anamuiga Klopp mzee wa kupenda kikosi kiduchu, hii itawacost The Citizens...
Au Mansour kagoma kutoa mpunga jamani...
YNWA
Foden sijui anatafuta record zake mwenyewe anapiga angle ambazo ni ngumu wakati haaland yupo kwenye position nzuri kabisa .....jana haaland alitakiwa kutoka na goli zaidi ya 2Eddie Howe, mtaalamu aliyeachana na kazi ya uhasibu na kugeukia ukocha. Mtaalamu wa mbinu na mpira wa kukimbizana whole 90 mins.
Jamaa toka yupo Bournemouth alikua mgumu bahati mbaya hakua na watu wa kazi.
Leo Foden amewachelewesha.
Viera kani prove wrong aisee wakati anaaridhi mikoba ya Roy nilijua ndio Palace watapoteana kwa kuwa EPL sio mahala pa amateur managers lakini jamaa kaja kivingine wapo vizuri sana.Naam Naam Kop. Uwepo wa Jesus na Sterling kulimfanya Pep awe na option kadhaa za kuchange plans zake.
Huenda Pep ameamua kumuiga Klopp kua na kikosi kiduchu , au maboss wamepunguza mpunga. Yote huenda yakawa majibu.
Next anakutana na Viera pale Selhurts bonge moja la mechi, usikose kwenda kuona ufundi panapo majaaliwa.
YNWA
🤠🤠🤠🤠🤠Mmiliki mpya kazi anayo bila Kante kua fit asilimia 100 acheze na Mateo hawa jamaa watateseka kama sie tu🤣🤣Kareti siyo kareti babeki😂😂😂😂🔥🔥
Uzuri hivi vipigo vinatokea dirisha likiwa wazi. Akikaza shingo asisajili DM tumekwisha.[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]Mmiliki mpya kazi anayo bila Kante kua fit asilimia 100 acheze na Mateo hawa jamaa watateseka kama sie tu[emoji1787][emoji1787]
YNWA