Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu mtoto TAA kukaba bado hawezi
Too much sasa from Arnold tulifungwo na Real Madrid fainali na sasa ligi kashafungisha kwa kukosa umakini wake kuzuia yaaani hana kabisa instinct kiasi wachezaji sasa washajua namna ya kujiseti maana hataruka kuzuia yaaani kumbuka goli la kwanza la Fulham ilikua aruke lakini ndio akawa sapoti kwa Aleksander...

Makocha wa mabeki inabidi wawe na mbinu za ziada kwa huyu dogo.

YNWA
 
Mfanyeni winga
 
Huyu dogo kukaba bado hawezi.
Hata kumnyang'anya adui Mpira huwa anapata tabu mno..
Nimemuangalia sana tangu last season mzunguko wa mwisho na manure.
 
HaHaHaHaHa
Tunatamani achapwe chapwe maan ndipo hua zinamkaa vizuri.
Lakin taabu ni kwetu siye tulioichagua wenyewe.
YNWA
Hii timu mwaka huu ipo kutunyongaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nacheka lakini naogopa,,sijui nitaweka wapi sura yangu 🀣
Jinsi nilivyosumbua watu msimu uliopita tukiwa Kwenye peak.
 
Mwaka huu nina wasiwasi na sisi tunaenda kupoteanaπŸ˜‚
 
Bado haizuii ukweli kuwa uwezo wake wa kukaba ni mdogo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Tutajikataaaa haha ndio maana nilishasema pona yetu ni wapinzani wapoteane zaidi yetu yaaani tutakua safe ila wakiwa bora zaidi basi tuhesabu maumivu

YNWA
Wanazidi kujipanga ,sisi bado tunajiona Exceptional wafanya miujizaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Klopp muoga amweke TAA RW, nyuma yake hata acheze our grandpa himself Millie, patakua strong side (but i do not recommend it hahah) better Gomez.

Wachana na hii, huku mjini taarifa inasema "Keita is unhappy" taarifa nzuri. Twende Wolves tukachomoe mtu juu wameshamchukua M.Nunez.
 
Kieta is unhappy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚at last some good news πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯tena atoe na transfer request asepe zake mapema sana.... Utasikia Klopp akipambana apewe miaka mitatu mkataba ndio utajua Klopp ana watu wake....

Klopp kwa Keita he should swallow his pride for once kwamba kwa huyu dogo ilikua biashara mbaya kwa klabu kuzidi kumng'ang'ania wala hakumsaidii Klopp wala Liverpool zaidi ananufaika Keita....

Klopp for once atupe raha kwa kuodokana na hii balaa.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…