Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,921
Klopp wetu anasema Robertson na Trent wanatosha kutengeza nafasi za kufunga....Tatizo la Liverpool sio performance sio kucontrol mechi La hasha.
Ni kuthaminisha nafasi kua magoli na kutengeneza nafasi. Hii inatokana na kukosa wabunifu kwenye MF ambao watarahisisha utengenezwaji wa nafasi na wao kuhusika kwenye ufungaji.
Itakua ngao ya jamii🙆🏿🙆🏿🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe kuku katika hizo game 2 mlizocheza unasema mmeshinda game 1, ni game ipi hio mlioshinda?
Broiler zimeshaanza kupata kideri mpaka zinasahau matokeo.
Akubali kuingia sokoni tu, hana namna. Anajipa matumaini mfu.Klopp wetu anasema Robertson na Trent wanatosha kutengeza nafasi za kufunga....
Timu zimeshatujulia.. Simpo kabisa wanatusubiri tushambulie na kwa vile wanajua fika Trent na Robbo wakishambulia wanacheza kama ma winga basi tukiponywa mpira ni kaunta moja tu na tutapigika tazama goal la Zaha kiukweli ile mechi wangetulia dogo angepata hata hattrick...
Nilitegemea sana Klopp atakuja kivingine msimu huu kimfumo lakini naona bado tupo pale pale pa last season...
YNWA
high line, huu mfumo timu zikuamkia vizuri lazima ufungwe goli hata mbili, misimu mingi tunaokolewa na magic za Allison maana watu kukutana nae uso kwa uso ni kawaidaKlopp wetu anasema Robertson na Trent wanatosha kutengeza nafasi za kufunga....
Timu zimeshatujulia.. Simpo kabisa wanatusubiri tushambulie na kwa vile wanajua fika Trent na Robbo wakishambulia wanacheza kama ma winga basi tukiponywa mpira ni kaunta moja tu na tutapigika tazama goal la Zaha kiukweli ile mechi wangetulia dogo angepata hata hattrick...
Nilitegemea sana Klopp atakuja kivingine msimu huu kimfumo lakini naona bado tupo pale pale pa last season...
YNWA
Lile sahani la ufunguzi ndilo wanamaanisha nadhaniNa Mimi ndo bado najiuliza hapa
Si baada ya kupata injury za Benchilwell na James ambao walikuwa mihimili wa team yetuMbona Chelsea msimu ulioisha alikusanya points nyingi mapema akaishia nafasi ya tatu.
Poleni Sana wakuu kwa draw mnazopata ndio ukubwa huoItakua ngao ya jamii🙆🏿🙆🏿🤣🤣🤣🤣
YNWA
Hivi pale Manchester United kuna balaa ujue... Sasa sijui watasema na Kipara wao aodoke walete madevu kama Klopp ama namna gani...
Idara ya usajili na scouting ina shinda kubwa pale.
YNWA
Hahaha kama mazuri ila hapo kukutana nae uso kwa uso ni kawaida. Beckor anatuokoa sana 1v1 he is the best.high line, huu mfumo timu zikuamkia vizuri lazima ufungwe goli hata mbili, misimu mingi tunaokolewa na magic za Allison maana watu kukutana nae uso kwa uso ni kawaida
Sasa viungo wa Liverpool ukimtoa Thiago na fabihno kuna wa kumuweka bench mtu Kama kdb ,rodri ,gundogun ,bennado Silva ....Combined 1st 11 Man City and Liverpoolfc, according to Jamie Redknapp and Micah Richards.
Alisson
TAA Dias Vvd Robertson
KDB Rodri Silva
Salah Haaland Foden.
Mmeshinda game gani?Hizi ni game 2 tu mkuu. Tumeshinda moja tume draw moja. Kwanini tuna over react?
Yule scout aliemtupia jicho Allison popote alipo abarikiwa sana maana huyu bwana ni sweeper keeper pale mabeki wameshapitwa basi jamaa hua anavimba balaa na mara nyingi anaokoa... Hua nikikumbuka ile sevu yake vs Napoli Champions League mpaka tukachukua ule ubingwa yaaani he is just exceptional....high line, huu mfumo timu zikuamkia vizuri lazima ufungwe goli hata mbili, misimu mingi tunaokolewa na magic za Allison maana watu kukutana nae uso kwa uso ni kawaida
Aisee Cancelo anakosa aje hapo.Combined 1st 11 Man City and Liverpoolfc, according to Jamie Redknapp and Micah Richards.
Alisson
TAA Dias Vvd Robertson
KDB Rodri Silva
Salah Haaland Foden.
Ronaldo hana mapenzi na timu yoyote haha yeye ni kazi kama walijua anawapenda basi imekula kwao... Pazuri mpaka sasa Mendes hajapata mteja ndio maana yupo Manchester United lakini naona Chelsea kwa kuwaza kuuza jezi na kibiashara zaidi wanaweza kumchukua CR7 dirisha hili.Jana nimeingia jukwaa lao kuangalia namna wanavyomtukana CR wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]View attachment 2326434
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Asante ndugu. Kutesa kwa zamu.Poleni Sana wakuu kwa draw mnazopata ndio ukubwa huo
Sifa moja ya Klopp ni kwamba hapangiwi yaaani piga kelele vipi yeye tuliiii mpaka alikose kombe ndio utamuona anakimbia huku hasara tayari..Akubali kuingia sokoni tu, hana namna. Anajipa matumaini mfu.
Tuyaheshimu mawazo yao mkuu.Aisee Cancelo anakosa aje hapo.
YNWA
Dah🤣Ronaldo hana mapenzi na timu yoyote haha yeye ni kazi kama walijua anawapenda basi imekula kwao... Pazuri mpaka sasa Mendes hajapata mteja ndio maana yupo Manchester United lakini naona Chelsea kwa kuwaza kuuza jezi na kibiashara zaidi wanaweza kumchukua CR7 dirisha hili.
Kila mmoja apambane na hali yake.
YNWA