Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Game 2
midd assist 0
midd goals 0


hii high line inatufungisha kila siku ila klop haioni

VVD ameshakua mvivu anakabia macho
 
Weka akiva ya maneno mkuu
 
Sasa Liverpool si tumeyataka wenyewe
Tunauza kijana aliyelelewa akaleleta tunaenda kuokota mtoto ameshindikana amejaa michoro mwili mzima.
Tunavuna tulichokipanda.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Punguza mdomo dada,this is not liverpool way,naamini hizo changamoto zitakua addressed vizuri na manager otherwise muda utamuhukumu
 
Nunez n mchezaj mzuri Sana ila anatakiwa ajengwe kisaikolojoa ajue mpira wa epl n kaz na nguvu sio ule wa Portugal laini laini

Aache panicking za kijinga utulivu ndio msingi

Na pale katikati klopp apafanyie kazi vingnevyo hata top 6 tutaisikia kwenye Bomba

Timu Kama fulham crystal palace znatusumbua je tukikutana na za kariba yetu itakuaje

Mid ipo exposed Sana Haina ubunifu wowote

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ndg yangu doze doze ,kushinda ,kufungwa na sare ndio matokeo na wachezaji wa amerca kusini hawaogopi chochote Wana Imani na vipaji vyao nidhamu sio kipao mbele.
 
Ndg yangu doze doze ,kushinda ,kufungwa na sare ndio matokeo na wachezaji wa amerca kusini hawaogopi chochote Wana Imani na vipaji vyao nidhamu sio kipao mbele.


Hapana! Hatuwezi kuwa kama Arsenal ya last season kila mechi Red Cards.
Miongoni mwa Timu ambazo ni nadra sana kupata Redcard basi Liverpool kutokana na kucheza kwa nidhamu! But huyu Boya anataka kutuletea ya Suarez na Baloteli.
 

Klopp pale katikati hawezi kusajili Mchezaji wa Maana mpaka ahakikishe Milner na Henderson wamestaafu kabisa kucheza mpira.

Ataishia kusajili Wagonjwa na Watoto ili kulinda nafasi za Milner na Henderson.
 
Kama hujawahi kumuona klop analia kaangalie ile sura alivyokuwa anamwambia nunuez "come out motherf***ck" baada Kula umeme [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...

Mpaka niliona huruma ,yaani daaa imagine mmeshapigwa goli na bado mtu anakula umeme sio poaa ...... ,huko dressing naamin atakuwa kala matusi yote ya dunian Nunez .....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…