Acha kumfananisha Super Sadio Mane na vitu vya kijinga kijinga.Nadhani Luis kiazi amekujibu vyema
Nilishasema na nitasema mane alichomzid Diaz ni experience tu
Mapenzi yako kwa mane yasitusumbue hapaAcha kumfananisha Super Sadio Mane na vitu vya kijinga kijinga.
Huyo Luis kiazi wako hastahili hata kuvaa socks za Mane.
Nakuunga mkono broMapenzi yako kwa mane yasitusumbue hapa
Naamini huyo mane hata angekuwepo leo asingefanya kubwa lolote ambalo Diaz hajalifanya
Mane kamzidi diaz vingi tu, upambanaji, jicho la pasi, umaliziaji, ukubwa(diaz ana utoto mwingi)Nadhani Luis kiazi amekujibu vyema
Nilishasema na nitasema mane alichomzid Diaz ni experience tu
Mimi mwenyewe nilitamani abaki..Kuondoka tu kwa Mane timu limepoteza mvuto kabisaaaa.
Mane alikua ni zaidi ya mchezaji hapo Liverpool.
Tuone huyo Luis Kiazi na Manunu watawafikisha wapi bila ya uwepo wa mwamba Sadio Mane.
Man u Mnalala mapema sanaZaha leo amezingua sana.
Angemakinika vizuri angepiga hat trick.
Viera awafundishe vijana wake kutulia na mpira, wanapoteza mipira kindezi sana na mipasi yao yote ni chongo, wameshindwa hata kutumia advantage ya red card.
Tukutane jumatatu OldTrafford tuwafundishe Gengen Pressing na super coach Eric Twenty Hag.
Bado Mane ni bora sana ukilinganisha na DiazNadhani Luis kiazi amekujibu vyema
Nilishasema na nitasema mane alichomzid Diaz ni experience tu
Sasa Liverpool si tumeyataka wenyeweTokea umalizike usajili sijawahi kuongelea chochote kuhusu usajili but leo kwa mara ya kwanza nasema kwamba Huyu Nunez ni mpuuzi kama mpuuzi mwengine tu.
Yani Timu imeshafungwa yeye anatufanyia Utovu wa nidhamu?? Ana tofauti gani sasa na Baloteli?
Liverpool si Timu ya Watovu wa nidhamu hivyo wasituletee Machezaji aina ya Nunez yaliyokosa malezi ya Familia.
Sisi tulijua tulichonacho ila ni kujitoa tu ufahamu..
Adv ya red labda keeper, Middle au Beki, sio striker broZaha leo amezingua sana.