Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Klopp hapangiwi jamaa....Thiago wiki 5 nje hapo tegemea baada ya WC ndio atarejea, klopp sturbonnes is going to cost him much, na ndipo watu watakuja 8 season 1 pl tittle hatakua na justification zozote zaidi ya failure
Utadhani kama ana hisa Liverpool.Remember last summer where we had Jordan Henderson's contract agreed for a few weeks but we waited until deadline day to announce it because the club thought it would silence and appease those wanting a new signing? [emoji24][emoji24]
Nimeishia kutabasamu baada ya kusoma neno baada ya neno kwenye para ya 1.Nasoma MF mdogo mdogo wanaanza kupona hivyo tetesi ni kwamba hakuna haja ya usajili, Keita atakuwepo Jumatatu vs Eagles, Jones hayupo mbali, Ox ni mpaka October. Thiago sijaona timeline.
Muda unasogea tutaona hali ni vipi kimatokeo.
Conte ame assemble kikosi powa sana wasipopata majeruhi ana kikosi kipana cha kuleta upiklnzani. Kimsingi Big 4 msimu huu itakua kaa la moto sare au kipigo hairuhusiwi.
YNWA
Msimu wa kutegemea na bahati ndio huu hapa.....Nimeishia kutabasamu baada ya kusoma neno baada ya neno kwenye para ya 1.
Kloppβs stubborn outlook on our problems is going to cost us big time, again.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]we haya tuWhy worry tuna Milner, Henderson, Ox, Keita proven serial winners[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Lets get used to this mapema the better otherwise labda Klopp aoteshwe kabla dirisha halijafungwo nini kitatokea kukomaa na hawa wagonjwa...
Hivi ni macho yangu tu ama Fabinho amechuja tangu mwaka ugeuke huu ile consistent haipo tena aidha anazidiwa na kazi pale kati ndio hali halisi...
YNWA
Hiki kimuhemuhe chake cha kujidai atatenda miujiza bila kikosi kipana,mwaka huu kitatutokea puani.Utadhani kama ana hisa Liverpool.
Angekumbuka yaliyomkuta Wenger baada ya invisibles wala asingefanya mzaha na Midfield.
YNWA
Kwamba sasa hajui na hayaona right player?
Waumie tuMatip na Konate majeruhi.
Inawapa nafasi Phillips na Gomez.
Hawa wachezaji msimu uliopita walicheza mechi 63 vile, ina maana walitumuka sanaaaa tu, haya majeruhi yatakuja tu kwa sana huu ni mwanzo...
YNWA
Ma robot....Waumie tu
Jamaa wanacheza nonstop kama mashine yaani
Liverpool ni wauaji aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mara pap Crystal wakatuchapa nyumbani 2 haha itakua powa sana kutuma ujumbe kwa Klopp aache ubishi...Kwamba sasa hajui na hayaona right player?
Subiri tuchapike kwanza..ataona tu.
Hahahaha mtasubiri sana Klopp hapangiwi kamwe....Hiki kimuhemuhe chake cha kujidai atatenda miujiza bila kikosi kipana,mwaka huu kitatutokea puani.
Sio mbaya mkuu hata nyie mliaso kama sisi kwaiyo kutesa kwa zamu.View attachment 2323178
Mambo yanazidi kwenda kusini kwa jamaa zetu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
YNWA