Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Liverpool kupata ubingwa msimu huu lazima wengine wapoteane.Timu ikishinda,Klopp ndo kila kitu. Timu ikifungwa FSG ni bahiri.
Nasapoti hoja.tutaanza kuhesabu assist au hata goli litakalotokana na midfield yetu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuku mwenye kideri hua hana tofauti na teja.
Tunasubiri tushinde kimiujiza ya Klopp.Na Thiago majeruhi na Klopp wala hana mpango wa kusajili aisee huyu Klopp hua namkumbali sana kwa misamamo tata maana unaacha kusajili huku pale kati pamejaa utopolo na wagonjwa yaaani hayaaaaaaaa.
YNWA
Yamekua haya mkuuTunasubiri tushinde kimiujiza ya Klopp.
Tatizo liva huko wenyewe wanajionaga Malaika wanayaweza yasiyowezekana.
Haya,ngoja tuone tunavyoendelea kubamizwa.
Hahahaha wanaishi kwa kukopi na kupasti...Tunasubiri tushinde kimiujiza ya Klopp.
Tatizo liva huko wenyewe wanajionaga Malaika wanayaweza yasiyowezekana.
Haya,ngoja tuone tunavyoendelea kubamizwa.
Mna kikos kimoja , omben wasipate majeruhi hasa kiungo Kama msimu uliopita ,ikitokea Thiago akawa trip shamba trip garage ,kaz mnayo, niliona na hendo ameanza kuwa mtu wa injury.Liverpool kupata ubingwa msimu huu lazima wengine wapoteane.
Tuna imani na Klopp, haibadilishi ukweli weak link ya Liverpool ni MF.
YNWA
Hapana aisee mane alikuwa anawapa option nyingiHuyu dogo Nunez ameonesha kuwa anaweza kurithi mikoba ya mane . Klop aanze nae tu aisee
Uza Kisha nunua ndio sera ya Usajiri wa hao FSG, au mmeisahau?View attachment 2316546
Aisee mwenye namba ya Klopp ampigie amwambie wingi wa Midfielders Liverpool sio hoja mbali ubora wao na kwa waliopo sasa sio levo zinazotupeleka kileleni.
Nashindwa kuelewa jambo hili, Klopp alijua fika msimu uliopita kwamba atahitaji kununua MF ndio akazama mazima kwa Tchouameni dogo akasepa zake Real Madrid sasa Klopp anavyolalamika kwamba MF haikua bora leo alitegemea nini kwa MF wale wale wa msimu uliopita.
Unasaka ushindi aafu unamwingiza Milner.
Klopp is damn too loyal. Sio bure.
Imagine unasaka ushindi ukiwa na Milner na Henderson kama MF jamani nyie haya.
Kama vile hii ishu ya Tchouameni ilikua PR ya FSG kutuaminisha wanampa sapoti Klopp...
Sare ya leo ni safi dirisha likiwa wazi hatutaki lawama kutoka kwa Klopp tunataka ushindi sisi.
YNWA
Klopp hua ngumu sana kuelewa huko mazoezini hawa MF wetu wanampa nini na uwanjani wanatupa nini maana kwa timu ilipofikia ni aibu kung'ang`ania wagonjwa na utegemer tuzime uflame wa Pep pale Uingereza.Mna kikos kimoja , omben wasipate majeruhi hasa kiungo Kama msimu uliopita ,ikitokea Thiago akawa trip shamba trip garage ,kaz mnayo, niliona na hendo ameanza kuwa mtu wa injury.
Liverpool IPO Kwenye kiungo ,
Liverpool Ndugu zangu, Usajiri mmefunga ,msimu ujao Sub 5
Je mnategemea miujiza Tena itokee msipate majeruhi ya Thiago ,na Fabinho?
Twende sawa nielezen vzr
Akikosekana Thiago au Fabinho au wote mnapoteana Katikati
Thiago Ni injury prone mkubwa, msimu uliopita ndipo kajitahidi kucheza mech nyingi nadhan toka aje Liverpool
Fabinho Ndiye naona ana uwezo wa kucheza mech nyingi
Henderson ameshakuwa mtu wa injury Sana
Sub mnazotegemea Ni
Milner(injury prone +Age )
Keita(injury prone)
Chamberlain
Jones
Elliott
Carvalho
NAOMBENI KUJUA JE MNAANZA LIGI MBIO NDEFU, YENYE SUB 5, MICHUANO MINGINE KAMA FA,UCL, NA CARABAO MKITEGEMEA MIUJIZA KAMA YA LAST SEASON ,THIAGO ASIUMIE ?
KAMA AKIUMIA THIAGO ( NI GUARANTEE ) TUTEGEMEE KIUNGO CHA
MILNER FABINHO HENDO
HENDO FABINHO ELLIOT
KEITA FAB HENDO
MKIPATA MAJERUHI WAWILI TU KWENYE MID MNAZIDI KUWA SHAKANI
tayari mna watu wametumika Sana , ambao hawawez kwenda mechi 10 hatujasikia lolote THIAGO, HENDO NA KEITA
SWALI LANGU, JE LIVERPOOL INASUBIRIA MIUJIZA YA THIAGO ,FAB NA HENDO WASIPATE MAJERAHA IKIWA 70% HENDO NA THIAGO NI INJURY PRONE
Hawa ma Yankees ni kiboka yaaani hua nikikumbuka kituko cha usajili wa January 2021 hua naishiwa pozi.. Yaaani wanategemea miujiza ya Klopp kutuvusha salama tena na msimu huu. Wakati mwingine kama vile tupigwe tutoke big 4 ili akili awakae sawa.Uza Kisha nunua ndio sera ya Usajiri wa hao FSG, au mmeisahau?
Baada ya Usajiri wa Nunez ,nilijua Tyr mmefunga Usajiri, haikuhitaji degree Kama unaijua hiyo sera.
Wale mliouza Ile hela ndio imemleta Nunez ,itakuwa wameongezea kiduchu, Net spent sidhan hata Kama £25m inafika,
Jude Bellingham Ni £100m
Matheus Nunes mlikana Kabisa hamuhusiki
Touchmen ilikuwa sound ,labda mngeuza ndio mngeleta wachezaji wawili kwa €80m.
UZA NUNUA hii sera ipo wazi Sana ,Klopp anajitahidi kubalance kikos chake atembee nacho hivo hivo
Thiago au fabinho wakiumia atapata tabu Sana,