Ni jambo jema.Mkuu mpira sio vita lazima ujue maadui zako wana panga nini[emoji1787][emoji1787] kila uzi lazima nichungulie nijue kinaendelea nini.
Kuhusu ku like mimi kila sehemu nayo soma lazima ni like kama kuacha alama kwamba hapa nishasoma.
Mkuu Aaron Arsenal salama huko Gunnerz naona Edu kawa new Edwards in da field, hongereni sana kwa usajili makini especially wa Jesus.Depth yenu ya kikos kwenye mid akiumia Thiago au fabinho kazi mnayo
Klopp hua ana makengeza akitazama pale MF naona mpaka mtoto pendwa Henderson na Milner wastaafu ndio atakaa sawa...Depth yenu ya kikos kwenye mid akiumia Thiago au fabinho kazi mnayo
Kwangu huyu ndio mchezaji bora kabisa wa Kiingereza, kama si thierry Henry basi ningekuwa shabiki wa Liverpool kwa sababu yake.
Ni leo baadae.Kumbe mechi ni leo?
Basi Liverkuku akicheza mashabiki wake duniani kote wanatapika na kuharisha kama kuku mwenye kideri.
Thierry Henry aka Chogo atakua ndio usajili bora wa Mzee Wenger pale Arsenal.Kwangu huyu ndio mchezaji bora kabisa wa Kiingereza, kama si thierry Henry basi ningekuwa shabiki wa Liverpool kwa sababu yake.
Midfield kkishet,
Mido njaa
Mido mpambanaji
Mzee wa mawe,
Mzee wa kukichafua, kukiwasha na kukizima kwa wakati mmoja.
Juzi nilikkuwa nacheki fainali ya FA 2006 ile full time 3-3. Stevie G ni KIBOKO
Ndio kaishazidiwaMane alichomzid Diaz ni experience
Kwanza stevie G pamoja na kuujua mpira alikuwa ana spirit ya kupambana, si mtu wa kukata tamaa, anajua kuibambania beji ya timu kama ni ya baba yake mzazi, akifungwa unaona huyu kafungwa..Thierry Henry aka Chogo atakua ndio usajili bora wa Mzee Wenger pale Arsenal.
Steve alikua habari nyingine kabisa pale Westham walitukamata vyema sana lakini kwa mara nyingine tena mwenye timu yake Captain wa Millennium akafanya jambo lake mpaka leo hua naona Sky Sport wanarusha ile gemu mara moja moja..
Hakua na mzaha kazini.
YNWA
Nimependa hapo mwisho *naanza kumpanga yeye ....Kwanza stevie G pamoja na kuujua mpira alikuwa ana spirit ya kupambana, si mtu wa kukata tamaa, anajua kuibambania beji ya timu kama ni ya baba yake mzazi, akifungwa unaona huyu kafungwa..
Kwake machozi, jasho na damu, kuleta furaha kwa mashabiki.
Yes, Henry was the best, ila angekuwa na roho ya GERRARD angekuwa zaidi ya pale. Gerrard ni mchezaji ambae angecheza kwa kila mwalimu mzuri, si PEP si Wenger, si fergie, mourinho ndio kabisaa alishajaribu kumsaini, hata kwa EL CHOLO angepata nafasi ya kudumu, kwa KLOP ndio kabisaa.
Nikiwa na mchezaji aina ya GERRARD kwenye timu yangu naanza kumpanga yeye kabla ya golikipa
Hawa jogoo tunaenda kuwatafuna saa moja jionMechi yenu na Man City ni saa ngapi?
Huu muda umeutoa wapi,saa moja banaGame Saa kumi na mbili na dakika 45( Saa moja Kasorobo)
Thanks madame naipata play store