Kabla watu hawajaja kutema shit hapa ieleweke kwamba Jana tulicheza game nzur tu tukianza na kikosi B ambacho Kama kawaida kilikosa muunganiko kwenye backline na kiungo so tukaconcede hilo goli moja kipindi Cha kwanza
Kipindi Cha pili kilianza kwa sub ya milner akaingia Robertson na Nunez akampisha firmino then dakika ya 60 ukaingia full mziki yaan full mkoko(Salah,fabinho,Trent, Henderson, Diaz, Virgil,matip....)mpira ulipigwa wa kutosha tu kosakosa nyingi na itoshe kusema kikosi chetu Kiko imara na tukutane jmoc tunapoenda kumchapa City