Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mtu pekee atakayeondoka Liverpool hii na itetereke ni Jurgen Nobert Klop basi siyo mane Wala Salah Wala mtu yeyote yule

Hivi Kati ya fabinho na Mane Nani alikuwa akimiss game timu inaflop??
 
Yaani Mane alikuwepo ila tukawa tunataka kushinda EPL Kwa miujiza,,eti Gerrard akawapige city!
Haya sasa,sasahivi hayupo hata hiyo miujiza haitakuwepo..tunaenda kuchapika.
Mane alikuwa consistent kuliko wengine wote pale mbele.
Haya lakini..ngoja tusubiri
 
Mchambuzi wa mifumo daraja la pili salary TGS D [emoji3]
 
Player comes and go, but liverpool will stay here forever! We all loved Mane but he chose to move on to find new pastures. Tbh in this klopp era i will chose him above anyone else not management not players not anyone. He's the main man of the show. Lets support him and get behind the team. Lets support the new lads signed and warmly welcome 'em so they feel how special is to play for this great and giant club. Lets not forget liverpool is not only the team but the way of life. Ciao #YNWA
 
Captain Marvelous.
Asilimia kubwa ya mashabiki wamechukulia suala la Mane kiafrika (racism) zaidi ya ulivyosema. Fuatilia comments nyingi za wadau humu siku Salah alipoongeza mkataba.

Mane kachagua kuondoka na angelazimishwa kubaki next summer angesepa bure, wakaona wamuuze wapate chochote kitu kitaboost somewhere. Salah alitangaza wazi wazi anataka payrise abaki but Mane didn't.
Nafikiri unsung Hero kwangu Fabinho & Beckor did it well hawa wasipokuwepo we suffer alot.
Watu hawamkumbuki Cult hero ORIGI, G.O.A.T Himself Hahahahah .
Watu walianza kumsema kwa sasa Mane ni mzito, hawezi kudribble, anaanguka anguka kirahisi n.k it was last season watu tunasahau.
By the way best of luck to our Legend Sadio Mane, he will be remembered. He had revealed he is No. 1 Liverpool after fans.
In Klopp i trust,
With Klopp we are safe.
YNWA
 
MR BINGO.
Ni pressure zetu wapenzi wa hii timu, ukiangalia wapinzani wanasajili tu ndo kabsa pressure inapaa juu. Kwa maoni yangu mahali pa kuboresha ni idara ya kiungo na tutakua salama.
Suala la muda Klopp ameelezea signings zake vyema na mpango wake wa kubadili mfumo.
 
Hahahah dearly kop Saint Anne
Punguza pressure. Before and after Mane era, Liverpoolfc bado ni Liverpoolfc.
Kuwin epl Klopp alikiri kutokumfunga Spurs pale Anfield kulitunyima ubingwa.
Msimu ulioisha tulidondosha alama 10 Anfield.
draw
vs city (2-2)
vs chelsea (1-1)
vs brighton (2-2)
vs brentford (3-3)
vs spurs (1-1)
Kama tungeshinda vs brighton and brentford would be another story.
It wasnt miujiza but luck wasnt on our side.

Klopp atatufurahisha coming season.
YNWA
 
Moja ya maswali aliyoulizwa kwenye interview leo huko Singapore ni kuhusu usajili.
Akasema labda mchezaji atake kuondoka.Na mpaka sasa hakuna aliyetaka kuondoka hivyo hakuna usajili wa kiungo. Klopp anasema ana 50% ya mchezaji kufanya vizuri.

Ingia Liverpoolfc.com kajisomee.
Mahali naweza kuacha alama ya ulizo kwa J.K.N ni idara yake ya kiungo. Hasa hasa DM wa kusaidia na faby na atakayemrithi, je haofii injuries kwenye idara hiyo itamuangusha? Labda kama yupo tayari kufanya rotation (alizungumzia jana japo indirect).
Curtis Jones
Harvey Elliot
Taylor Morton watapata game time time ya kutosha next season.
FA cup and Carabao cup (Taki and Origi's cups) tutarajie U-23 wakipewa nafasi na few senior.
Best of luck to us.
YNWA
 
Kikosi chetu kiko vile vile aliyeondoka wakutegemewa ni mane tu beki ni ile ile ya miaka 4 iliyopita ,unavyosema mbovu nakushangaa, mtaje huyo beki mbovu mmoja tuone.
wewe uko vilevile angalia rivals wako wapo vip?
 
Chelsea inasajili mabeki tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] bus la hapo sijui!
 
Ngoja tuende tu hivihiviπŸ’”
 
wewe uko vilevile angalia rivals wako wapo vip?
Kusajili ni jambo moja na hao wachezaji ku click kwenye mifumo ya hizo timu na kufanya vizuri ni kitu kingine. Last season we signed only konate dirisha kubwa then january diaz then look where we finished and achieved against our rivals. Sikatai kuhusu kusajili ila unasajili tu ili mradi au unasajili ili kuleta another solution into existing squad nafikiri hapo ndipo klopp alipotuacha.
Yeye Klopp ana target zake anazozitaka na akizimiss kama vile Tchouamen alivyomtaka kwa ajili ya DM ni bora asisajili kabisa kuliko kusajili ili kufurahisa fans. Tuwe wapole Klopp at the helm knows better.
 
Msimu wa 2020 2021 Mane huyu huyu alipoteana vimbaya sana yaaaaani alikua anakosa magoli yanwazi akiwa na Salah pale mbele kiasi kwenye dirisha la June 2021 tulitegemea Klopp aachie kifaa kipya lakini hakufanya hivyo na pazuri Salah akaja ki vingine kwa magoli muhimu sanaaa mpaka anakwenda Afcon na baada ya Afcon Mane akarejea akiwa moto sana... Nimesema hayo kuweka rekodi sawa kwamba Mane pamoja na ubora wake alikua pia anapoteana muda mwingine consistent haikua 95% kwenye magoli mbali kwenye anacholeta kwa timu kwanza ni dynamic forward utamkuta defense anazuia na pale mbele alicheza pote bila kulalamika maana usione hawa wachezaji wana shine kwenye namba fulani wengine hua wakiambiwa wahame namba hua malalamiko lakini Mane hakua ananuna wala kuchoka kujitoa kwa ajili ya ushindi...

Katazame goli lake vs Norwich mzunguko wa pili utaona instinct za huyu dogo sio za kawaida...

Upo ukweli fulani kwamba pamoja aliwai sajiliwa Liverpool kabla ya akina Salah lakini ni kama mapenzi kutoka kwa mashabiki hayakua makubwa ki vile kama yalivyo kwa Salah, VVD nk lakini dogo hakuwai kuonyesha uwanjani hayo yeye ni kazi kazi muda wote...

Mashabiki hua tunahamisha magoli misimu ya nyuma Mane huyu huyu alikua anasemwa kwamba ni wa kawaida sana na Liverpool sio saizi yake hivyo asepe zake...

Mambo ni mengi sana yanasemwa.. Binafsi kama kweli atapata Β£350 Bayern hakika akwende tena amechelewa kwani huyu dogo ana majukumu mengi nchini kwake

Cult Hero Mane aka the beast haha

Origi hana mshindani ana magoli yake fulani hivi ukiyakumbuka lazima urudi YouTube kuyatazama.. Magoli yake vs Barcelona naona yataingizwa soon kwenye hall of fame πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..

Klopp ndio usajili bora wa FSG, anafuata Coutinho, Allison, VVD, Salah, Fabinho, Firmino, Mane, Robertson, Gini nk

Sasa labda Nunez atakuja nae kua Cult Hero tumpe muda...

YNWA
 
Mtu pekee atakayeondoka Liverpool hii na itetereke ni Jurgen Nobert Klop basi siyo mane Wala Salah Wala mtu yeyote yule

Hivi Kati ya fabinho na Mane Nani alikuwa akimiss game timu inaflop??
Lipo wazi Klopp ndio usajili bora na umewapa ela, heshima sana FSG na kukuza hii klabu kwa zaidi ya asilimia 200 tangu ahamie Liverpool...

Klopp is Liverpool and Liverpool is Klopp.

YNWA
 
Ninyi wambea sana aisee, badala ya kujadili mambo yenu mnabaki kuwasengenya majirani zenu. Mtalaaniwa aisee
Alafu wewe ndio wa kupigwa hata mawe unaingiaje bila ruhusa humu? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…