Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 2262150

πŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏTchouameni huyoo... Seems we have dodged a bullet...

Huyu kama Henderson aliechangamka kabisaaaa

YNWA
Jamaa ukimfagilia mtu upo vyema wala hana maajabu huyo ngoja kale katoto kanze kupangwa utamtukuna huyo chaumi wako

Cavaho kati na Elioti mbele japo huyu nafasi yake ngumu ila Calvanho atatoboa tu
 
Jamaa ukimfagilia mtu upo vyema wala hana maajabu huyo ngoja kale katoto kanze kupangwa utamtukuna huyo chaumi wako

Cavaho kati na Elioti mbele japo huyu nafasi yake ngumu ila Calvanho atatoboa tu
Carvalho hua ana operate vyema upande wa kushoto na Elliott hua ni upande wa kulia.
Ngoja tusubiri maana kwa mara ya kwanza Klopp kawekeza pesa ya maana kwa real 9 hivyo pengine hata mfumo atakuja kivingine.

Msimu ujao sasa tunaanza na DNS.. Diaz Nunez Salah.

YNWA
 
Umepotea njia wewe.atakuja auzwe kama karanga mo to Barcelona, manoy to bundasliga. Who ar you going to failure
Ukiachana na Keita sijaona tena failure ya usajili kwa Klopp na sitegemei awe ndio Darwin Nunez...

Liverpool tumeshapasua anga na kuvuruga soko la Real Madrid na Barcelona maana zamani Diaz na Nunez ilikua ngumu sana kuwapata ilikua wanasubiri kwenda Uhispania lakini sasa soko la America ya Kusini tumeanza kulimega kwa kasi nzuri sana.

YNWA
 


Julian Ward ni balaaaa tupu.. Tazameni πŸ‘‡ πŸ‘‡
The deal in numbers..
*bei ya dogo ni Β£64m,adds on ni kama Β£26m ili kutimiza Β£85m... hii itatimia endapo dogo atatimiza majukumu fulani fulani uwanjani...

*mshahara wa Darwin ni Β£140k kwa wiki πŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏ.....

*Benfica get Β£46.7m upfront only.

*Adds on Benfica will get Β£4.3m if he plays 10 times

*Adds on Benfica will get Β£8.6m when he plays 60 games.

*Adds on Benfica will get Β£8.6m on performance based payment.

*Penarol where he started playing in Uruguay will get Β£1.9m, hawa ndio walimuuza kwenda Almeria wakaweka future sell clause.

*Almeria club from Spain will get Β£8.95m hawa ndio walimuuza kwenda Benfica wakiweka future sell clause.

*Intermediation services(wakala au mwanasheria) ni Β£6.24m

*Amesaini miaka 6. Tunae mpaka msimu wa 2028.

* ina maana simple solution Mane Β£41m upfront na Darwin Β£46.7m upfront ni dili bora kabisa kwa bajeti ya klabu kuweza kuingia tena sokoni hata kabla ya kuuza mchezaji mwingine... Kweli kwa Julian tutulie tu mambo ni motooo πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…