Supercomputer
JF-Expert Member
- Feb 13, 2021
- 673
- 1,441
Hii partnership ya Nunez na Salah haitashine kwa sababu Salah ni selfish na Nunez anapenda kufunga.
Unselfish Mane ndo aliekuwa anaweza kucheza na Salah
Hapo ndo tutajua Mane alimsaidia vp Salah kutamba
Otherwise time will tell!!
Ni jambo lakushangaza sana kwa hawa wenye chuki na SalahMpira takwimu, Salah ndio amemaliza na assists kuliko wote epl, Sasa huo uchoyo anautoa wap?
Ward afanye utaratibu aniletee GAVI NA BRUMER ....AU AMLETE BISSOUMA AU YULE MASTER WA INTER NICOLA BARELA SIJUI NICOULA ILA KITU KAMA HICHOView attachment 2258722
Karibu Anfield Darwin Nunez hakika umechagua mahala sahihi kabisa kukuza kipaji chako zaidi. Hapa utakumbatiwa na mahaba mazito sana na kweli unajituma kazini na wimbo watakutungia...
Hili dili imekaa utamu sana miaka 6 huyu sasa anakuka kuteka hii ligi. Ni play maker kuwaleta wengine mchezoni, anafumania nyavu kwa miguu yote miwili na vichwa yumoo.
Julian Ward mpaka sasa ameridhi mikoba ya Edwards kibishi sana yaaani hatupoi...
Tukumbashane tu Michael Edwards alijiunga na Liverpool mwaka 2011 alihudumua idara tofauti kabla ya kufikia hili la Sporting Director ina maana mpaka FSG wameamua kuajiri kwa kumpadisha Julian kutoka kua msaidizi wa Edwards na sasa kua SD ni jambo la kujivunia.
Huyu Julian Ward ni mbombezi wa soko la Spain na Ureno hivyo tupo kwenye mikono salama. Jamaa ana network nzuri sana tutulie tu afanye yake.
YNWA
Madame ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ETI kikundi Cha uchoyo [emoji1787][emoji1787]Nunez kashatua,bado wanakuja wengineo,[emoji1787]
Ramli chonganishi kwa liverpool huwa zinafeliHii partnership ya Nunez na Salah haitashine kwa sababu Salah ni selfish na Nunez anapenda kufunga.
Unselfish Mane ndo aliekuwa anaweza kucheza na Salah
Hapo ndo tutajua Mane alimsaidia vp Salah kutamba
Otherwise time will tell!!
Naye atachoka tuMadame ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ETI kikundi Cha uchoyo [emoji1787][emoji1787]Nunez kashatua,bado wanakuja wengineo,[emoji1787]
unselfish mane mwenye asisst ndogo kuliko salah. salah mnamwita selfish ndo amenyakua tuzo ya assist nyingi EPLHii partnership ya Nunez na Salah haitashine kwa sababu Salah ni selfish na Nunez anapenda kufunga.
Unselfish Mane ndo aliekuwa anaweza kucheza na Salah
Hapo ndo tutajua Mane alimsaidia vp Salah kutamba
Otherwise time will tell!!
Transition [emoji122]
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Nyie takataka liverp*mbu msimu unao kuja ronaldo atapiga goli nyingi peke ake kuliko izo takataka nunez sijui na sarah.
sisi sio wajinga kuacha iyo mtu maana tulikuwa tunaweza kuipa hata 350k kwa wiki tumeona haitufai kwenye mfumo wetu iyo mmeuziwa ng'ombe wa mayele.
Mkuu pale mbele nilikuq natamani sana kuona dogo Zaniolo wa Roma akija kumridhi Salah 2023 yaaani dogo ana mguu wa kushoto mtamu balaa na bado kinda sana.Ward afanye utaratibu aniletee GAVI NA BRUMER ....AU AMLETE BISSOUMA AU YULE MASTER WA INTER NICOLA BARELA SIJUI NICOULA ILA KITU KAMA HICHO
Hahah huyo ni Mike Gordon boss wa Klopp ni shindaaaa Levy anasubiri aafu halali huyu hata mchezaji akipatikana saa tisa night anaingia kazini
Halaand £60million
Darwin £100million ...
Bado Kuna mtu anasema Liverpool hawatumii pesa kwenye usajili [emoji28][emoji28][emoji28]
Halaand Jana tu team ya taifa katupia 2 goal + assist ...Deal ya Halaand inafika £80+m ukiweka pia za wakala, signing bonus nk lakini pia mshahara kwa hio miaka mitano itakua zaidi ya Darwin.
Halaand 350k
Pain killer usiposhinda UCL sasa na huyu mfumania nyavu basi tena usahau... Lakini Manchester City mnakoelekea sio pazuri sana kwa kuwatoa Gabriel Jesus na Bernardo Silva yaaani ziishie tu kua tetesi especially kwa Silva maana ni workhouse huyu dogo.
Darwin 200+k
Haya ngoja tuone namba za magoli zitadhibitisha ubora wao.
YNWA