Kutesa kwa zamu ndugu yangu. Sasa ni zamu yetu angalau na sisi tuwapate hawa special talents.Hii kitu niliamini itatokea maana isinge ingia akilini Nunez kujoin United na kuitosa Liverpool
Mazungumzo yanaedelea aisee. Ni muda tu dogo atangazwe na inakua rahisi kwa sababu amevutiwa na Liverpool chini ya Klopp nadhani na home boy Surez atakua katia neno pale. Kingine ni ile impact ya Diaz Liverpool imempa hope ana nafasi ku shine.Man U wanalialia huko kwenye page zao 😂😂😂
Liverpool wamejiondoa kabla ya Mashetani wekundi (Red Devils) katika mbio za kumsaka Nunez. (Star)Za chini chini huko Nunez tayari. Tukae mkao wa kula.
Mkuu kipindi cha dirisha la usajiri chanzo cha kukiamini ni Sky sports kwa mbaali Fabrizio Romano. Hao The sun sijui BBC ni kama Ijumaa wikienda tu.Liverpool wamejiondoa kabla ya Mashetani wekundi (Red Devils) katika mbio za kumsaka Nunez. (Star)
Chanzo: BBC Swahili
Kimpira , Son anastahili kuwekwa hapo Kwa mane kama vigezo ni effort. Nashangaa imekuaje pale, na Ronaldo anafanya nini humo?View attachment 2255841
Kikosi cha msimu 2021 2022 ndio hicho Liverpool tumeingiza wachezaji 6. Hongera sana kwa Klopp na vijana wake kwa kazi safiiiii.
YNWA
View attachment 2255846
Pain killer unamuona Kipara anatembeza kibakuri...
Tetesi dogo Bernardo kama sio dirisha hili basi lijalo huyoooo Barcelona yaaani yule dogo sio wa kumwachia kabisaaaa... Na kama ame mind fulani dirisha la June 2021 walimtia sokoni hivyo moyo wake upo hukooo Barcelona..
Msitucheke ya Mane soon yatawakuta.
YNWA
Imagine dogo Son goli 23 bila penati na hayupo kikosi bora cha msimu yaaani hiki kikosi bila Son sio kamilifu.. Ronaldo hata sub asingeonekana kabisa.Kimpira , Son anastahili kuwekwa hapo Kwa mane kama vigezo ni effort. Nashangaa imekuaje pale, na Ronaldo anafanya nini humo?
Yeah hawa wachezaji sio wa kuwang'ang'ania sana kama amepata kwingine atapata dakika zaidi ama mpunga zaidi basi anasepa..Bernado Silva Bado yupo Sana ...!
Gundogan pamoja na kutupa PL lakini anaweza asiwepo msimu ujao ...!
Kwenye football hivyo ni vitu vya kawaida Sana
Mashabiki walitaka ma uefa ma EPL😂😂😂Oyaaaa mbona siwaoni huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2243885