Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,583
- 235,437
AiseeConfirmed: Mane ni Mali halali ya Bayern, kapewa jezi namba 19
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii timu imekuwa ya kifala sana,
Yaani Wanamuacha Mane aondoke kisa uchoyo wao!
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Viongozi wa liva ni wana ulafi mwingi akiyananiMimi nililiona muda Sana ,mane hakupewa heshima yake pale ,na facial expressions ilikuwa inajieleza yenyewe uwanjani [emoji28]View attachment 2251883
Wamenikera[emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah Man ni kwamba ukiachana na Thiago alietua akiwa established na mshahara wake kuanzia 200k kwa wiki hawa wengine wote wamekuzwo walipofikia sasa ni juhudi zao na mbinu za Klopp kupata all the best kutoka kwao hivyo hii ni win win situation kwamba Klopp kawafanya kua World beaters na wenyewe wameichukua fursa hio kuifanya kua Liverpool moja ya klabu bora kabisa uwanjani na nje ya uwanja tangu ametua Klopp.Tatizo lilianzia kule The Saints alikolipwa 45k per week. Alipoibuliwa na JK nafikiri alifika 80k per week kabla ya marekebisho ya 2018/19 yaliyomfikisha 100k. Sidhani kama FSG watafika 300k kwa mchezaji wa miaka 30 tena mwafrika, labda wafike 200k naye awe royal.
Vinginevyo JK atakuwa tayari auzwe na kuibukia kwa hawa machalii, si ajabu akaingia kwa aggressive player Raphinha mazima huku Nkuku / Nunez akifiatiliwa mahala pa Origi.
Tulia miss Liverpool hakuna chenye mwanzo kisichokua na mwisho japo mwisho huu mchungu sana lakini hakuna namna sasa dogo ameanza kuongea mambo mazito nadhani huyu akifunguka zaidi ni aibu kwa Liverpool.Aisee
Hivi Liverpool uongozi wetu wanatumia akili gani kuwaza?🥲
Timu litapigwa mabao nje ndani next season.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wamgemuacha tu afunguke yote .Tulia miss Liverpool hakuna chenye mwanzo kisichokua na mwisho japo mwisho huu mchungu sana lakini hakuna namna sasa dogo ameanza kuongea mambo mazito nadhani huyu akifunguka zaidi ni aibu kwa Liverpool.
Ushauri wangu kwa Mane bado ana miaka kadhaa kucheza kwenye high level hivyo atulie yeye asepe zake Bayern hana haja ya kuchonga sana tumemwelewa ana uchungu sana lakini duuh dogo uwanjani hakuwai kuonyesha wasiasi yeye ni kazi kazi muda wote...
Kafanya pia uungwana sana kusema mapema hakusubiri dirisha likaribie mwishoni hivyo hata klabu hapa haina cha kusema wamekosa mbadala wake na bla bla zingine..
YNWA
Maajabu hayataisha duniani akiyanani[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]View attachment 2252675
Mwenye sababu sahihi kwa nini Milner apewe mkataba mpya wa mwaka mmoja ili hali Origi alibaniwa game kadhaa ili mkataba usije renew automatically mwaka mmoja.
Kuna sababu kweli huyu babu kupewa nyongeza ya mwaka mmoja?? Hua namuona sasa jambo analofanya ni kula viatu kweli kweli yaaani kamulizine Pulisic jibu analo ma wengine wengi...
Hii klabu jamani haya. Ina maana huyu Henderson tunae mpaka 2027[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
YNWA
Miss Liverpool kumbe hua huelewi tukisema Liverpool haina plastic fans hahahaha maanake ni kwamba tupo kwenye raha na kwenye shinda haijalishi nani anaodoka...Wamgemuacha tu afunguke yote .
Timu ya kijinga hii Captain..
Yaani eti Milner anabaki,Mane anaondoka!
Haya,nani atakuja kuziba pengo lake??
Na akija kuziba,atakubali kulipwa mshahara sisimizi na acheze Kwa moyo wote kama Mane.
Kwa ujinga wanaoufanya nadhani nitajitoa kabisa kushabikia mpira.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Usajili mpya anachukua nafasi ya Mane eti si unajua huyo ni mr flexible 😂😂😂😂😂😂😂😂💃💃Maajabu hayataisha duniani akiyanani[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Watuachie timu yetu waondoke.Miss Liverpool kumbe hua huelewi tukisema Liverpool haina plastic fans hahahaha maanake ni kwamba tupo kwenye raha na kwenye shinda haijalishi nani anaodoka...
Nikukumbushe kwenye hii generation ya sasa sidhani yupo aliefika levo za Gerrard lakini FSG hawa hawa walimnyima mkataba wake wa mwisho bila hata maelekezo yaaani tuna wamiliki waajabu wana operate hii biashara kivyao kabisa mie ukiniuliza hata huyo Klopp wanalewana vipi sielewangi... Unaweza kuta hata Klopp kasema Mane apewe mkataba mpya lakini wenyewe wataibuka na hili na lile yaaani ma Yankees ni pasua kichwa.
Ushauri wangu kwako ni kwa Liverpool uwe tu ma moyo wa kusamahe kwani Liverpool ipo kabla ya hao FSG yaaani wao wameikuta na watakuja kuicha hivyo ukitoa FSG klabu yetu mbona haina makuu.. Tatizo ni FSG wanataka wao ndio wachukue ela Liverpool lakini sio wao walete ela Liverpool design kama Roman mpaka anasepeshwa alikua anaidai Chelsea £1.2b yaaani imagine mapenzi aliyokua nayo na ile timu sio ya kawaida kabisa. Sie hawa FSG wao mapenzi kwao ni pesa na ndio hata ilvyotokea Corona ndio ilikua klabu ya kwanza kuwapa likizo wafanya kazi kabla ya mashabiki kuwajia juu na kughaili huo mpango hata ilipokuja Super League walikua ni waanzilshi maana walijua fika pesa ya maana ilikuwepo na pia ilikua inaleta capping ya mishahara nk yaaani hawa FSG ni jibu kwetu lakini hatuna namna lazima twende nao hivyo maana washasema hawauzi hii klabu leo wala kesho kwa nini wauze wakati ndio biashara yenye dhamani na inakua kwa kasi kwenye subsidiaries zao zote hivyo tutulie jamani.
YNWA
😂😂😂😂Wapooo na sasa wananuua Ac Milan kupitiia washirika wao mbona wamo sanaaaa.Watuachie timu yetu waondoke.
Wanakuwa kama wanga vile!
Natamani niwanyonge[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapooo na sasa wananuua Ac Milan kupitiia washirika wao mbona wamo sanaaaa.
Wameoja ela za Liverpool wameona utamu wao hivyoo sasa ni mwendo wa kusaka klabu za kununua.
YNWA
YNWA
Kweli wonders shall never end 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mpaka kocha anamng'ang'ania lazima kuna kazi nzuri anayoifanya kule dressing room. Na mambo mazuri yanayotokea uwanjani yawezekana kuna mkono wake mrefu huko. Lazima kuna kitu. Huyu atakuwa mtuliza dhoruba ikitaka kutokea kule dressing room, huyu atakuwa ni mshawishi mkubwa wa kuweka morale kwenye timu. Sio bure kuna kituKweli wonders shall never end 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna habari zinasikitisha halafu zinachekesha.
nadhani ataendelea kuwepo na yumkini atakua sehemu ya benchi la ufundi....View attachment 2252675
Mwenye sababu sahihi kwa nini Milner apewe mkataba mpya wa mwaka mmoja ili hali Origi alibaniwa game kadhaa ili mkataba usije renew automatically mwaka mmoja.
Kuna sababu kweli huyu babu kupewa nyongeza ya mwaka mmoja?? Hua namuona sasa jambo analofanya ni kula viatu kweli kweli yaaani kamulizine Pulisic jibu analo ma wengine wengi...
Hii klabu jamani haya. Ina maana huyu Henderson tunae mpaka 2027[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
YNWA