Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

GAVI (17) atwaa tuzo ya kinda bora La liga mbele ya Vinicius Jr, Pedri na Rodrygo.

Mpaka sasa hajasaini mkataba mpya na Barcelona huku dau lake ni €50m tuu. Liverpool, Bayern Munich na Manchester United wote wapo tayari kumsajili kinda huyo mwenye kipaji mguuni.

Tunasubiri nini kumnyakua huyu dogo?
 
Chelsea tulionyesha nia tangu feb sijui iliishia wapi. Labda sanction na kwa vile sanction imeisha sasa tunakuja na nguvu mpya, ari mpya na kasi mpya
 
Wame improve aisee... Kipindi Cha kina Yaya Toure walikuwa Wana ishia 16 bora,Angalau Sasa hivi Wana uhakika wa kuingia nusu fainali au fainali. Naona soon hawalibeba,Hela ikizidi kumwagwa.Uzuri Wana kocha mzurii.
Sana chini ya Kipara kuna improvement kubwa sana imefanyika pale ni suala la muda tu UCL watachukua maana Boss wake amesema wanaingia sokoni mazima kuboresha kikosi na kwa vile lengo lao kuu sasa ni UCL wataipata.

YNWA
 
😍😍😍😍😍😍😍😍Babu aje tu kama tunamkosa Darwin huyu anatufaa sana.
Mtihani uliopo ni kwamba Bayern analipwa 350k je FSG watamlipa hivyo hivyo ama.

Chaguo langu la kwanza ku replace Mane ni
Darwin Nunez
Chaguo la pili
Gnabry
Chaguo la 3
Nkunku.
Chaguo la 4
Raphinah
Chaguo la 5
Bowen

Kama hao wote tunawakosa basi aje Lewandoski angalau jamaa haumii hivyo na ni point man wa ukweli kama FSG walitoka nje ya strategy kusajili Thiago basi na huyu usishangae.

YNWA
 
Yani umememnukuu vizuri Aselot hafu unasema tuna mapungufu.

Tumepoteza fainal sababu za kiufundi tu kiuchezaji tuliwazidi sanaaa.

Ikiwa mfumo ni mmoja basi utajaza kila aina ya wachezaji ila matokeo ya tabaki vilevile
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…