Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kila nikifikilia haya majamaa mishipaa imesimama yanapayuka ooooh "quadraple" nabaki nacheka ..!!fala Sana kuku wakubwa nyie
Mkuu acha matusi fala ndio nini? Huyo ndio ushabiki sio! Shabikia mpira kwa hoja sio uanze kutuambia sisi nima fala mkuu isitoshe hum kuna mama zako, baba zako wapo walio kuzidi hum kuwa na heshima.
 
Binafsi nimefurahi kwa Mane kuondoka maana atatoa nafasi kwa Klopp kusajili Stricker ambaye atatumia nafasi kwa kiwango kikubwa zaid.
Salah na Mane wamefunga magoli mengi na yametusaidia sana ila they're not clinical mbele ya goli.
Wanaitaj nafasi 3 mpaka 5 kufunga goli moja.
 
Mkuu acha matusi fala ndio nini? Huyo ndio ushabiki sio! Shabikia mpira kwa hoja sio uanze kutuambia sisi nima fala mkuu isitoshe hum kuna mama zako, baba zako wapo walio kuzidi hum kuwa na heshima.
Mkuu fala sio tusi ni kiunganishi cha maneno tu [emoji28]
 
😂 😂 😂 Na iwe hivyooooo maana mlizoea sapoti ya nguvu sanaa kwa Roman.

YNWA
 
Aisee!!
 


Wale wa Chelsea ni tahadhari tu zile fukuza fukuza za walimu baada ya kufanya vimbaya msahau na pia sokoni sio kama enzi za Roman.

Timu imenunuliwa kwa ela za mkopo kutoka Clearlake Capital hivyo mambo yatabadilika sana Darajani.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…