Nyie mlikuwa mnacheza Europa tuTumecheza mpira mzuri,bahati haikua kwetu
Nikusaidie tu hakukuwa na golikipa golini offside inaanza kuhesabiwa kwa mlinzi wa pili baada ya golikipa so wakati benzema anapokea mpira ili afunge golikipa alikuwa mbele ya benzemaImekuwaje goal la benzema likawa offside? Kwa kweli sijaelewa. Labda kama pale alipoanza kukimbia lakini picha za marudio hawaonyeshi hilo tukio.
Tushukuru Mungu maamuzi ya VAR. Tungekuwa na hali mbaya sana.
LALA BROOKwani wametufunga kirahisi,huoni wao wenyewe mpk wanalia, bahati haikua kwetu
Achana na sisiBig ass never walk aloneView attachment 2242857
Pambaneni na timu zenu,hali zenu ngumu mmejaa humuKimoja cha nguruwee
Huwa kinauma sana
😆😆😆😆sasa man city mmepata wapi hio nguvu kila siku mnashindwa UefaNyie mlikuwa mnacheza Europa tu
Vs inter Milan
Vs benifica
Vs villareal
Sasa hio ni CL ?
Wakati wanaume wanacheza CL
Vs psg
Vs Chelsea
Vs man city
Harafu wewe fala fala wa Europa et u hukue CL [emoji28][emoji28]
Quadraple ya makalio labda View attachment 2242863
😂😂😂😂wapuuz haoNyie mlikuwa mnacheza Europa tu
Vs inter Milan
Vs benifica
Vs villareal
Sasa hio ni CL ?
Wakati wanaume wanacheza CL
Vs psg
Vs Chelsea
Vs man city
Harafu wewe fala fala wa Europa et u hukue CL [emoji28][emoji28]
Quadraple ya makalio labda View attachment 2242863
Kalale na madrid, sisi tupo hapa hatukimbiiLALA BROO
Utakaaga kuliota UEFA ndotoni. Sie 'fala fala' tushayabeba sita, wewe 'mjanja mjanja' hujawahi kuwa nalo hata moja.Nyie mlikuwa mnacheza Europa tu
Vs inter Milan
Vs benifica
Vs villareal
Sasa hio ni CL ?
Wakati wanaume wanacheza CL
Vs psg
Vs Chelsea
Vs man city
Harafu wewe fala fala wa Europa et u hukue CL [emoji28][emoji28]
Quadraple ya makalio labda View attachment 2242863
Anapoozea machungu hapa.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]sasa man city mmepata wapi hio nguvu kila siku mnashindwa Uefa
Timu yako imeishia makombe gani msimu huu? Ya chai?Hoooooo!msimu huu makombe yote ma nne(4) tuna beba haya mmeishia vikombe vya uji.
Mmepoteza chance 6 kipindi cha kwanzaBinafsi naona hatukuwaheshimu Madrid hatukujifunza kwa PSG city na Chelsea kupitia timu hz klopp ilibid apate somo kwann timu zile ngumu zilitolewa na Madrid
Tumefunguka Sana huku wenzetu wakicheza kwa tahadhar kubwa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wabovu wote hao,mnaongozaje goli 3 fainali,zinarudi zote kizembe?Tatizo lilianza pale Liverkuku mlipodhani kwamba PSG, Chelsea na Man City wote wabovu😂
Waonee huruma wenzakoWalivyotolewa PSG liver hawakutia maji
Walipotolewa Chelsea Liver hawakutia maji pia
Walipotolewa City mkajifanya majogoo
Sasa leo nmefanywa kuku wa nyama
.Utakaaga kuliota UEFA ndotoni. Sie 'fala fala' tushayabeba sita, wewe 'mjanja mjanja' hujawahi kuwa nalo hata moja.
Bingwa mtetezi ni ChelseaMadrid kamtoa bingwa mtetezi na amekuwa BINGWA