Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Fainali ya leo hamchezi na spurs nataka niwakumbushe msije mkawa namatumaini makubwa sana leo mnakutana na gwiji wa haya mashindano, leo mnalala na viatu, mnywe maji mengi.
Mtalimia meno,madrid wanakula 3,mapema sanaaa
 
Hapo kwa Manchester United hapo kikwazo kikubwa cha yeye kuwa na UCL tatu ni Pep Guardiola kumbuka final ya 2009/2010 pamoja na 2011/2012 The same to you mpaka sasa mngekuwa na EPL tatu ila kikwazo kikubwa ni Pep Guardiola na pesa zao za mafuta😀😀😀.
 
Man U Watacheza Uropa league.

Westham ndio watacheza conference.
 
Mnatumia nguvu nying Sana kumuelimisha MTU ambaye amefunikwa na WIVU wa mafanikio ya klopp kwa kujifanya haujui UKWELI...
 
Alichowafanya Al-Ustadh Sheikh Alhaji Benzema hamutoweza kukisahau mutaendelea kumtunza kwenye Gallery za Simu zenu kizazi na kizazi.
Ndicho unachoelekea kufanywa na wewe. Wewe ulikua kama kuni ya akiba sasa ni zamu yako kuingia kwenye moto ukawe kichocheo kizuri
 
UEFA CHAMPIONS LEAGUE (UCL) FAINALI LEO NI LEO:

LIVERPOOL VS REAL MADRID saa 4 kamili usiku.

Mambo ya kujua kwa uchache;

1] Kwa mara ya kwanza kabisa timu hizi kukutana kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ilikuwa mwaka 1980. Real Madrid walilala 1 - 0. Shukrani kwa bao la beki Alan Kennedy dakika ya 82. Mkongwe Kenny Daglish wa Liverpool akala kadi nyekundu dakika ya 85.

Na hii ndio mara ya mwisho Real Madrid kupoteza fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Hivyo Liverpool ndio timu ya mwisho kuifunga Real Madrid kwenye fainali ya ligi hiyo.

2] Timu ya mwisho kuifunga Liverpool kwenye UCL, ni Real Madrid mwaka 2018.

3] Timu ya mwisho kumfunga Carlo Ancelotti kwenye fainali ya UCL ni Liverpool. (2005)

4] Timu ya mwisho kumfunga Jurgen Klopp kwenye fainali ya UCL ni Real Madrid. (2018)

5] Fainali ya leo inachezwa kwenye uwanja uitwao Stade de France jijini Paris nchini Ufaransa. Na mara ya kwanza fainali kama hii ilipochezeka, Real Madrid walitwaa taji hilo kwa ushindi wa mabao 3 - 0 dhidi ya Valencia ya Hispania pia. Mara ya pili ilikuwa 2006 na Barcelona walitwaa taji hili kwa kuwafunga Arsenal 2 - 1.

Real Madrid wanarudi tena leo kujaribu kuendeleza wimbi la ushindi kwa timu za Hispania kwenye uwanja huo kila fainali ya UCL ikichezeka hapo.

6] Fainali ya kwanza timu hizi zilipokutana ilichezwa hapo hapo jijini Paris lakini uwanja ni Parc des Princes unaomilikiwa na klabu ya Paris Saint Germain (PSG). Uwanja huu ulikuwa ukitumiwa na timu ya taifa ya Ufaransa na muungano wa timu za Rugby kabla ya Stade de France kutengenezwa na kuanza kutumika 1998 kwenye fainali ya kombe la dunia (France VS Brazil) ambapo ndio uwanja rasmi kwa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Ufaransa.

7] Leo ni tarehe 28 mwezi Mei. Na mara ya mwisho fainali ya UCL kuchezeka tarehe kama ya leo na mwezi wa leo, ilikuwa mwaka 2016 ambapo Real Madrid walishinda kwa 5 - 3 dhidi ya Atletico Madrid.

Fainali ya mwaka huu ya UCL itakuwa ya kihistoria.
 
Fainali ya leo hamchezi na spurs nataka niwakumbushe msije mkawa namatumaini makubwa sana leo mnakutana na gwiji wa haya mashindano, leo mnalala na viatu, mnywe maji mengi.
Washabiki wa madrid wa kukod mna maneno nyie, hata hao madrid wanajua kuwa hawakutani na bilbao
 
M

Mzee uyo hajikombi,ni mtoto wa liverpool apo ni nyumbani kwake muda wowote anafungua mlango anaingia ndan habishi hodi.
Huyu anachofanya anajiharibia mwenyewe ,hakuna timu kubwa ulaya inaweza kumpa mkataba fala kama huyu ambaye yupo tayari kuuza game Kwa sababu ya Liverpool [emoji28]

Ataendelea tu kufundisha vilabu vidogo vidogo na anapoelekea ni kubaya Sana ,!!

Maana hata huko liverpool kwenyewe anaweza asipate huo umanager anaotafuta Kwa mbinde ...!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…