[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] wahi hospital mapema.Aisee Thiago pancha, Keita pancha, Matip pancha, Henderson pancha sasa hapo unakosa aje kuwapa rotation hao na utegemee kushindana mazima na Pep.
Unless uniambie sasa usajili mpya pale kati Klopp atue mazima sokoni kuongeza nguvu mpya na mbinu mpya.
Kwa msimu huu nauhakika tupo tulipo sababu game management ya hao hapo juu ilikua top class ndio maana wapo angalau fit asilimia 80 mpaka sasa.
My take ni Klopp atazame yafuatayo.
Klopp atamaze upya hii high line tazama upya leo tumekua exposed mara nyingi tu sema Wolverhampton hawakufanya maamuzi sahihi na nafasi zao.
Klopp atazame upya ulazima wa kusajili namba 9 wa ukweli ili hizi kosa kosa nyingiii pale zipate jibu. Tunatengeneza nafasi nyingi sana msimu huu lakini hatukua clinical wakati sahihi tazama Jota anapotea na kuibuka ghafla kwenye kufunga ni nguvu kumtegmea same case na Salah ni kama kuna behind the scenes zime impact msimu wake. Bila impact Diaz tungekua tunaongea mengine kabisa msimu huu.
Wafuatao naona hakika wasepe zao Milner, Firmino, Ox, Keita,... Hapa tulete idea mpya kusonga mbele maana msimu wa tatu vile tunapata pointi 90+ bila ubingwa hilo tuu ni ushahidi tosha ubora wa Citeh..
Nawapa big up vijana kwani hakuna hata kombe hata moja tulikua favourite yaaani kama ni
EPL favourite alikua Citeh, Blues, Devils, Liverpool
Champions league favourites ilikua
PSG, Citeh, Bayern, Blues.
Sasa hapa tulipo tumejishangaza hata sasa yaaani ni msimu bora kwani tunaongeza na makombe mawili mapya ambayo Klopp alikua haja shinda.
All in all mambo ni mazuri sana msimu huu tulipo wengine wanapatamani sana lakini ndio hivyo ni ndoto tu kwao.
YNWA
Kwahiyo ujio wa Halland ndio utabadilisha kila kitu? Kama akina messi wameenda psg na hakuna walicho badilisha ndio itakua huyo halland? Mpira ni akili bhana.
Mkifikisha hio target ya 95+ mtamkuta kipara tayari ana 100+
Kilichomleta kipara EPL ni kuwafundisha jinsi ya kutanua msamba, na kwenye kujifunza kutanua msamba kuna mawili aidha uchananike phumbu na au ufanikiwe kutanua hadi mwisho hali itakapelekea na kile kitundu kingine nacho pia kitanuke na mlango ushindwe kufunga vizuri.
Arsenal imeshinda fA for years na watu wakawa wanajificha kwenye hoja ya hilo kombe ni la kitoto. Juzi liva kashinda FA na Robertson kaonekana analia kwa furaha na ghafla FA kimekua kikombe cha muhimu.
nilitamani fainali ya uefa liver vs city dunia ingesimama na kelvin angetwaa balon do'r,hongereni majogoo mmepambana kweli kweli
Shombo na shit gani watu wa Liverpool wanaongea?
Namba zinaongea Liverpool wamefungwa mechi 3 tu mashindano yote mpaka sasa kwenye Epl hapo mechi mbili Na uefa mechi 1, hakuna timu iliyofanya hivyo kwenye ligi tano bora duniani.
Sasa na kwa hilo utasema Liverpool wanajisifia lakini ndio ukweli huo.
Liverpool imekuwa bora licha ya kuzaraulika wakati msimu unaanza.
Sasa hivi mnakuwa mnatuchukia pasipokuwa na sababu za msingi kabisa, na hii kutokana timu zenu kule hakuna cha kushangilia tena maana mkienda kule mnafungwa mnaona mje huku kuongea ujinga.
Uzuri Epl huwezi kuingia Na matokeo yako mfukoni tusubirie tuone uzuri wa Epl hakuna aliyekuja na jina hapo hakaonekana.
Muache chuki zenu hizo,na mkubali uhalisia Liverpool ndio timu bora.
Una limited knowledgeFA haijawahi kuwa kombe muhimu bado itabakia ni Mickey mouse Cup.
Ukimuuliza Mshabiki yoyote wa Liverpool utamkuta anafurahia zaidi kumfunga Chelsea kuliko kubeba hilo Kombe.
Hivyo utamu ulipatikana kwa kumfunga Chelsea na sio kubeba Mickey mouse Cup.
Liverpool imeshatoka kwenye Standard za FA na Carabao.
The New Sheriff in town aiseee.Ten Hag: "I admire them both, Manchester City and Liverpool. They both play fantastic football. But you will always see an era come to an end." #mulive
Kwa lipi ndugu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] wahi hospital mapema.
Mkuu Gerrard ana mtoto w kiume anaitwa Lio.Salah ni kama Gerrard Watoto wao wote wa Kike