Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii tuzo wamempa tu hakustahili huyu mtu

Mafanikio yetu tunayopata sasa Hivi mnaanza kutuchukia pasipokuwa na sababu za msingi,sasa huyo ana clean sheet 20, kwanini asipewe golden globe? Golden glove anapewa kipa mwenye clean sheet nyingi.

Unataka apewe nani? Yaani ni chuki pasipokuwa na sababu za msingi.mafanikio yetu sasa yanawachanganya sana.
 
Mafanikio yenu sisi hayatuhusu Wala hatuna chuki na ninyi maana kila timu inatamba kwa wakati wake na msimu ukiwaendea vizuri. Ninyi mafanikio yenu Ni ya muda tu hata ivyo mumefika mbali kiasi hongereni
#CFC💙💙
 

Shombo na shit gani watu wa Liverpool wanaongea?

Namba zinaongea Liverpool wamefungwa mechi 3 tu mashindano yote mpaka sasa kwenye Epl hapo mechi mbili Na uefa mechi 1, hakuna timu iliyofanya hivyo kwenye ligi tano bora duniani.

Sasa na kwa hilo utasema Liverpool wanajisifia lakini ndio ukweli huo.

Liverpool imekuwa bora licha ya kuzaraulika wakati msimu unaanza.

Sasa hivi mnakuwa mnatuchukia pasipokuwa na sababu za msingi kabisa, na hii kutokana timu zenu kule hakuna cha kushangilia tena maana mkienda kule mnafungwa mnaona mje huku kuongea ujinga.

Uzuri Epl huwezi kuingia Na matokeo yako mfukoni tusubirie tuone uzuri wa Epl hakuna aliyekuja na jina hapo hakaonekana.

Muache chuki zenu hizo,na mkubali uhalisia Liverpool ndio timu bora.
 
Bro usitumie nguvu Kubishana na hizi nzi zina stress ya timu zao
 
Endelea kubishana na wenye ligi wenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…