Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
😂😂😂😂😂😂😂😂Kwenye maji kuna papa haha utulie tuliii ndugu makubwa yaja msimu ujao ukiona Klopp alishasaini mkataba mpaka 2026 ndio ujue yajayo yanafurahisha.Imeisha hiyo mkuu wangu.
Hii game tunamaliza mizimu ya kwetu Nanjirinji inaniambia wazi usiku..
Thiago akiwa hayupo hali itakuwa mbaya sana pale kati,huyu ni mtu wetu muhimu sanaaaa..
Pia TAA na robo wakiwa kwenye ubora wao tunamaliza kazi mapema na hivi waziri ametangaza kuonesha mechi daraja la tanzanite pale ,tukishinda tunajitupa majini 😂😂
Yani ungenijua usingepost picha yoyote ambayo muna Karius ndani yake.
Huyo evra alitaka kuleta shobo kwa pep ....Huyu Dogo ni mjinga kweli! As professional footballer hakupaswa kuwa hivi.
Angejifunza kwa Pep Guardiola alivyowajibu Evra na Barbatov ni si kubwa unprofessional kiasi hiki.
City 1 - 1 villa
Liver 2-1 wolves.
Iweke ukutani.
22-5-22.
Hii ni fixed match au ni utabiri na matamanio tu ??[emoji848]City 1 - 1 villa
Liver 2-1 wolves.
Iweke ukutani.
22-5-22.
Naunga mkono hoja mkuu, Diaz akitokea bench huwa ni hatari sana kuliko akianza 1st half.Mkuu me naona haina haja ya kuanza na Diaz ,tuanze na Bobby kama ilivyo ada, Diaz awekwe dakika kama ya 60 akute zile beki milenda za Madrid zimeshatepeta iwe ni mabio tu mpaka wasalimu amri.
Kuchokaa??? Au mbinu za kumfunga mpinzani wake.Naongelea UCL final , sio kombe la mbuzi kama EPL[emoji4], Liverpool mna striker zinazojielewa endapo zikiwa hazina papara, eneo la Kati sio kivile japo defense yenu angalau ina ridhisha , tatizo la Madrid striker zao ni machine gun, eneo la kati hasa attacking midfield wapo vizur sana , kwenye defense Madrid ni wabovu , .....!!! Atakayewahi kuchoka ndo atayefungwa
Na ndiye aliye badirisha hali ya hewa dhidi ya VillarrealNaunga mkono hoja mkuu, Diaz akitokea bench huwa ni hatari sana kuliko akianza 1st half.
Na zote amewafunga baada ya wao kuchokaKuchokaa??? Au mbinu za kumfunga mpinzani wake.
Kumbuka Los Blancos kacheza dk 120 mechi tatu
Hili linanipa shaka sana jinsi walivyo penya bahati ipo upande waoNa zote amewafunga baada ya wao kuchoka
Tusubiri tuone kama uchawi upo.Hili linanipa shaka sana jinsi walivyo penya bahati ipo upande wao