Sasa Takumi dakika alizocheza chache angecheza kama hawa washambuliaje wa ze blauzi si ingekuwa balaaNdg yangu unajishushia heshima unavyotumia nguvu kubwa kutetea kitu ambacho akiexist. Hizo goli kumi kafunga mechi zipi??
Pulisic 13 mechi kubwa epl na UEFA
Werner ana goli 13 epl an uefa
Kai ana 13 EPL na UEFA sijaweka assits na ligi za mbuzi za minamino
Wach kujishushia heshima ndg
Dogo wa bling bling tetesi ni kwamba wakala wake Deco alishamalizana na Barcelona.We need Raphinha. Leeds watuuzie tu.
Kwa ligi ipi ndio swali langu, ahat angecheza mara 1,000 which league, that is my questionSasa Takumi dakika alizocheza chache angecheza kama hawa washambuliaje wa ze blauzi si ingekuwa balaa
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Hao Mashabiki wa Chelsea na Man City ni wa kuanzia miaka ya 2013 nashangaa mnawaelekeza lakini bado wanatanguliza mihemuko badala ya kujipa muda wa kutafakari na kuelewaSasa Takumi dakika alizocheza chache angecheza kama hawa washambuliaje wa ze blauzi si ingekuwa balaa
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Uelewa Wako ni mdogo sana. Idadi ya mechi alizocheza na game time ndio kinachomaanishwaKwa ligi ipi ndio swali langu, ahat angecheza mara 1,000 which league, that is my question
EPL? UEFA au unazungumzia Karabao zenye timu hadi Legue two!
Ni mashine haswa...!We need Raphinha. Leeds watuuzie tu.
Sishangai maana hata kikosi chenyewe ndio kile ndugu.. Klopp ni bonge la kocha yaaani wale wachezaji ndio mechi yao ya kwanza wamecheza pamoja msimu huu lakini hilo halikua tatizo kutoka na ushindi ugenini uwanja ambao Manchester City alitoka sare.Timu ilicheza hovyo sana ni kwa vile mlikuwa na Soton tu!
Wewe una uelewa mkubwa hizo mechi nyingi kacheza EPL au UEFA?Uelewa Wako ni mdogo sana. Idadi ya mechi alizocheza na game time ndio kinachomaanishwa
Huyu dogo akiungana na Son itakua balaa aisee maana wote bila mpira ni workaholic huku Kane akiwa false 10 kama alivyocheza msimu huu itakua balaa kubwa sanaJuu ya kuwa ni Squad player lakini Klopp amekuwa akimnyima sana game time.
Kama vipi ikibidi kuuzwa bora Spurs wamnunue akaungane na Son.
The numbers my eyes wonna see come Sunday.City 1 - 1 villa
Liver 2-1 wolves.
Iweke ukutani.
22-5-22.
Majeruhi sana uyu
Rudiger ni jembe haswa hapa Don Carlos kapata mpambanaji .. Najiuliza itakua aje na dogo Mbappe na Tchouameni wakitua pale Real Madrid yaaani hawa jamaa wameamua sasa ni wakati mwafaka kuwazika kabisa Barcelona ndoto za ubingwa La Liga.Hichi kikosi cha Jamie
Mimi ningebadilisha
Matip weka Rudiger
Silva weka Thiago
Rice weka Fabhino
Kane weka Mane
Alison weka Mendy
View attachment 2229404
Tukomae kwa Bissouma. Hakuna namna.Majeruhi sana uyu