Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 3,349
- 6,421
Klopp hua ni habari nyingine kabisaaa yaaani huyu mwamba hapangiwi kamwe.
Kupanga hiki kikosi kinahitaji some tough balls na Klopp ndio anazo yaaani...
YNWA
Kumbe. huyu mzee hesabu zake kali sana
Kuna Klopp mmoja tu na huyu wa Liverpool...Kumbe. huyu mzee hesabu zake kali sana
Mnahitaji ubingwa halafu mnatuwekea minamino, elliot
Mwambieni Klopp hii ni EPL sio Karabao
Job done.
Show down on Sunday 22/05/22 gemu ya mwisho ya msimu.
Mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Mpaka gemu ya mwisho.
Congrats to the boys especially hawa 9 wapya leo Taikumi, Jones, Tsimikas nk wow. ..
YNWA
Mnahitaji ubingwa halafu mnatuwekea minamino, elliot
Mwambieni Klopp hii ni EPL sio Karabao
Kimeumana uko π€£π€£π€£
Atusaidie mnk aliwai kuteleaa na kusababisha kupoteza ubingwa mbele ya Chelsea so anapazwa kufight haswa apange kikosi chote kiwe defence na at taking kdg vinginevyo madogo wale watamlostishaThe only man who can save LiverpoolFC.
View attachment 2226054
Angalau kikosi cha kwanza kimepumzika,warudi na nguvu mpyaLFC ya msimu huu inabidi ikahifadhiwe museum.
Kikosi cha pili kimepata points tatu ugenini.