As Roma walipata pesa sahihi kabisa kwa huyu kiumbe. Halafu sasa sio kipa tu umesahau pia anafunga na kutoa assist kuliko Lingard na Joginho[emoji23][emoji23]View attachment 2226845
Binafsi hua nasema Allison ndio usajili bora wa Klopp, huyu mwamba muda mwingi anatuweka mchezoni pale anapohitajika.
Asante sana Allison.
YNWA
Nakubaliana na wewe.View attachment 2226845
Binafsi hua nasema Allison ndio usajili bora wa Klopp, huyu mwamba muda mwingi anatuweka mchezoni pale anapohitajika.
Asante sana Allison.
YNWA
Kipara anapitia wakati mgumu sana.View attachment 2226858
Pep kabanwa na Moyes jana na sasa kashaanza ramli hadharani wala hajifichi aisee hii joto ya ubingwa ni kali sana.
Haya kipara wamekusikia.
YNWA
Huku Duniani ndio maana wanasema Hakuna Rafiki wa kudumu wala Adui wa kudumu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ni hatari sana kaka.Kipara anapitia wakati mgumu sana.
Ukumbuke huyu dogo kipindi kile yupo Roma alitakiwa na timu kama 3 hivi walikuwemo Chelsea nadhani na PSG lakini akasema nakwenda Merseyside na kweli hajutii kuja kwetu anachokosa sasa ni Kombe la Dunia kwenye mataji yake.As Roma walipata pesa sahihi kabisa kwa huyu kiumbe. Halafu sasa sio kipa tu umesahau pia anafunga na kutoa assist kuliko Lingard na Joginho[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna cha rotation wala kupumzisha Wachezaji Klopp aweke full Mkoko kwenye mechi zetu 2 za EPL mpaka sekunde ya mwisho [emoji23][emoji23][emoji23]
Issue ya kuchoka na injuries mutajua wenyewe.
Gerrald hatotuangushaHakuna timu ya kutufunga hata akifanya rotation.
Hawa 🇧🇷 ni noma sana aka Samba boysNakubaliana na wewe.
Binafsi huwa nasema ili timu ifanikiwe, inabidi kuwepo wachezaji wawili au zaidi wa KiBRASIL.
Class act.This one made me laugh loool!
Up the redssss! This is Liverpool!
Atue Aston Villa kwa Steve shinda hapo ni mshahara.Atletico Madrid have now officially confirmed that Luis Suárez will leave the club on a free transfer in June. His contract won’t be extended. [emoji1257] #Atleti
Suárez is not considering MLS bids as of today, his priority is to continue in Europe.
Hilo mkuu linaonekana wazi kwamba ubora finyu wa pale kati unafanya LB na RB waelemewa kwenye kutengeza nafasi z kufunga pindi tunavyobana tazama mechi ya Tottenham au Chelsea Wembley utaona pale kati ipo shinda ya MF mbunifu design kama Debruyne ama Fekir ambae ni game changer labda sasa dirisha hili Klopp atapatazama upya namna ya kuboresha alete mchezaji tofauti na waliopo.Boss mbele na nyuma tuko kamili, ila shida ni viungo , Thiago na Fab wanatakiwa wapate msaada pindi wanapokosekana. Naona kwa GINI tulipoteza mtu sahihi.
OX, KEITA, MILNER waachwe wakatafute timu tu.
GOMEZ na TAKUMI bado wanahitajika kwenye squad.
😂😂😂😂😂😂Mbona Steve anapewa kazi ngumu sana jamani.
Hakuna timu ya kutufunga hata akifanya rotation.