Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Mtuache jamani angalau na sisi tufurahie huu uflame.

YNWA
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wakati ni wetuuuuuuu.

Enjoy while we can.

YNWA
 
So Liverpool ina EPL moja ndani ya miaka 32, kwanini priority isiwe huko, au hilo moja linatosha?
 
So Liverpool ina EPL moja ndani ya miaka 32, kwanini priority isiwe huko, au hilo moja linatosha?
EPL isingekuwa piority kwetu Man city angekuwa bingwa tayari mapema tu. Ivi Arse8 ana EPL ngapi miaka 18 iliyopita yaani watu wanazaliwa wanakuwa watu wazima hawajawai ona Arse8 akiwa Bingwa

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Kwani Epl inapatikana kwa penalty???
Hawa ni mabingwa wa penalty, unaweza waita mabingwa wa chongo.
Ronaldo mnamuabisha yani msimu ujao anacheza na wakina Bado limit, Fc Twente, Partizan Belgrade, CSKA Sofia huko conference league nacheka saaaaana hahaha hahaha kashindeni na nyie huko kwa mchongo

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Chambuzi la nyumbu[emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16] Huo sio uchambuzi wangu ni maneno ya Super Coach Pep Guardiola
"Liverpool ni wazuri katika mashindano yenye penalty kuanzia Carabao, FA na mashindano ya ulaya lakini sio EPL, ndio maana wameshinda mara moja tu kwa kipindi cha miaka 30"
 
Sawa mkuu nimekuelewa aisee thanks
 
Ronaldo mnamuabisha yani msimu ujao anacheza na wakina Bado limit, Fc Twente, Partizan Belgrade, CSKA Sofia huko conference league nacheka saaaaana hahaha hahaha kashindeni na nyie huko kwa mchongo

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Umesikia lakini bodi nzima ya UEFA inalalamika kua mashindano hayawezi kua na mvuto endapo United hata shiriki?
Timu kubwa kibao zimelalamika hawatashiriki Uefa endapo hawataiona Manchester United kwenye hayo mashindano.
Ili kunusuru mashindano viongozi wa Uefa wamepanga kuja kupiga magoti kuiomba Man United ishiriki kwenye mashindano yao hata kama haijaingia kwenye top 4.
Hii ina maana Uefa inaihitajia zaidi Manchester kuliko United inavyohitaji Uefa.
 
Hata kwa kutoa rushwa hamuendi kokote

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Ramli zenu na dua zenu naona zinaenda kama zilivyopangwa japo kuan watu hapa watakuja kujibu kuwa Liverpool ina uwezo wa kubeba EPL bila ya dua na ramli
 
Siamini kinachotokea huko, Westham 2-man city 0
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Refa maliza mechi iishe bana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Kila mtu ashinde mechi za priority kwake.

FH Score
Westham 2:0 Man City
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…