Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,311
- 40,119
Ni maoni yangu lakini mkuuMkuu hata akibaki tatizo liko wapi? Mbona OX ,Henderson na Jones wapo hausemi wauzwe kwamba wanakula mishahara ya bure?
Me naona salah abakie tu sijaona ulazima wa kuuzwa kuzidi hao niliokuambia hapo.
Tunajua tu salah hayuko sawa kwa sasa ila atakuwa sawa tu msimu ujao.
View attachment 2222090
Hao ulio wataja walikuwepo au hawakuwepo?View attachment 2221884View attachment 2221887
Kama ameweza kushinda mechi zaidi ya 30. Kwanini iwe ngumu kushinda mechi nne?"To win all three trophies we must win all four games. This is the tough situation"
-Klopp
Nipe namna ya kupiga Kura nimpigie Kura Mason Mount awe mchezaji boraView attachment 2222966
View attachment 2222972
Tayari Nimeshapiga kura yangu young player of the season na manager of the season Halafu matokeo yakitoka tukiongoza watu waje waseme tumependelewa Na wakati kura hawaja piga sasa angeshinda vipi wanaomtaka na wakati wajampigia kura?
Usifananishe hizi mechi za yale mazoeziKama ameweza kushinda mechi zaidi ya 30. Kwanini iwe ngumu kushinda mechi nne?
KDB, huyu jamaa[emoji95]
hii haina hata haja ya kumdhindanisha TAA na hao watoto
Tuzo ya Kipara
Foden anachukuahii haina hata haja ya kumdhindanisha TAA na hao watoto