Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,922
Huyo Sterling abaki huko hukoView attachment 2220287
Dogo kachagua mpunga wa 350k kwa wiki kuliko kushinda Champions League [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa usajili huu mnaona aje Sterling arejee nyumbani sasa aanze kwa kuomba radhi maana hio Champions League alipo anaiona kwenye kideo...
YNWA
Huu usajili wa haaland unawatesa Sana ,sio nyie Liverfool tu Hadi wafagia vyoo wa anfield [emoji28]View attachment 2220287
Dogo kachagua mpunga wa 350k kwa wiki kuliko kushinda Champions League [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa usajili huu mnaona aje Sterling arejee nyumbani sasa aanze kwa kuomba radhi maana hio Champions League alipo anaiona kwenye kideo...
YNWA
Yan hii comment inaashiria mnateseka sana kwa huyu dogo kwenda Man CityView attachment 2220287
Dogo kachagua mpunga wa 350k kwa wiki kuliko kushinda Champions League [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa usajili huu mnaona aje Sterling arejee nyumbani sasa aanze kwa kuomba radhi maana hio Champions League alipo anaiona kwenye kideo...
YNWA
Wanamaumivi makali Sana ,full stress .... achana na pep kabisa [emoji28][emoji28][emoji28]Yan hii comment inaashiria mnateseka sana kwa huyu dogo kwenda Man City
Yan hii comment inaashiria mnateseka sana kwa huyu dogo kwenda Man City
[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2220285
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni mwendo wa kuota tu hakuna namna kwa wengine.. huku Liverpool tukitimiza ndoto zetu kibishi.
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2220287
Dogo kachagua mpunga wa 350k kwa wiki kuliko kushinda Champions League [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa usajili huu mnaona aje Sterling arejee nyumbani sasa aanze kwa kuomba radhi maana hio Champions League alipo anaiona kwenye kideo...
YNWA
Duuh kumbe upo nikajua upo Raine Bank unahangaika na mauzo ya klabu maana long time sijakuona... Nipo na jamaa yangu Chugga kama kawaida..Yan hii comment inaashiria mnateseka sana kwa huyu dogo kwenda Man City
Ndoto za mchana sio sawa na ndoto, misemo unatakiwa uzielewe ndgNi bora ndoto kuliko kukosa kutoota kabisa ndugu.
YNWA
Aisee Matip Jana amefanya jambo
Nilikuwa nimetingwaUlikuwa wapi ? Ndio unamkumbuka saizi?[emoji3]
Weka playstation 4 ucheze Against Spurs na uwe sharp
Umecheza na Amateur sioTayari nimeshacheza ,nimeshinda 4-1
Mkuu twaota usiku wewe unasema za mchana hizo hatuna kabisaaaa.Ndoto za mchana sio sawa na ndoto, misemo unatakiwa uzielewe ndg
Toka tulipomkosa msimu uliopita roho yangu haina shida naye tena. Lakini nilikua na uhakika sisi ndio tungeweza kutrigger ile buying clause yake mwisho wa msimu huu ila changamoto tulizopitia ndio zimetufikisha hapa. Mwache aendeLakini si ndiyo nyinyi muliokuwa munajitaoa kumsajili Haaland pale Chelsea?
Munaonaje kumkosa?
Mkuu mimi nipo ila tu majukumu napunguza muda wa kuwepo humu na nikiwepo nakua nyumbani kwangu tu muda wa ziada ndio naingia huku.Duuh kumbe upo nikajua upo Raine Bank unahangaika na mauzo ya klabu maana long time sijakuona... Nipo na jamaa yangu Chugga kama kawaida..
Binafsi sina cha kuumia kwani EPL hua ina matokeo ya kushangaza sana na dogo pamoja na ubora wake ana fitness issue za hapa na pale design kama Aguero hivyo muda utasema...
Kama Lukaku kwenu hajawapa cutting edge mpo pale pale mlipokua msimu uliopita usishangae na huyu yakawakuta.
YNWA