Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Fainali ya Uefa Champions League 2018 na mwaka jana walitutoa pia Uefa hivyo hii sasa tuna jambo letu.Hawa wajinga lazima tuwafunge
Najua Salah Atacheza kufa na kupona
Mwaka gani ule yalitutoaga,nna hasira nao yaani[emoji51][emoji23] ile mechi niliangalia nililia, natamani hata niingie kucheza na Mimi.
Mimi niliangalia hiyo ya 2018Fainali ya Uefa Champions League 2018 na mwaka jana walitutoa pia Uefa hivyo hii sasa tuna jambo letu.
Hii ya mwaka jana hatungeweza kwenda nao sawa maana tulikua hoi defence.
YNWA
Pale tuna Captain wa Wolverhampton ni home boy wetu hivyo atapambana mno..Wolves ampige Man city
Presha yetu ishuke
Anapigwa na wolves.Pale tuna Captain wa Wolverhampton ni home boy wetu hivyo atapambana mno..
Kwa sasa Kipara kupigika labda wavurugane wenyewe kama mechi ya Crystal Palace na jambo ngumu japo inawezekana kabisa maana kwenye mpira lolote linawezekana.
YNWA
Its coming home 😂😂😂 la 8 au la 7 hiloooo😝😝😝😝😝😝😝😝😝Mimi niliangalia hiyo ya 2018
Hawa wajinga walinipa maumivu.
Mwaka huu tutacheza kufa na kupona..
Yaani hili kombe letu iwe isiwe.
Sijui kwanini naamini hii mechi tunashinda.Its coming home 😂😂😂 la 8 au la 7 hiloooo😝😝😝😝😝😝😝😝😝
YNWA
The spirit of Shankly hahah never accept being 2nd.Anapigwa na wolves.
Hili lipo wazi kabisa.
Mwaka huu ni kubeba vikombe vyote vyote tu.The spirit of Shankly hahah never accept being 2nd.
YNWA
We are believers.Sijui kwanini naamini hii mechi tunashinda.
Mambo mazuri kua AnfieldMwaka huu ni kubeba vikombe vyote vyote tu.
Sisi ndio liver timu kubwa.
Hawa wajinga lazima tuwafunge
Najua Salah Atacheza kufa na kupona
Mwaka gani ule yalitutoaga,nna hasira nao yaani[emoji51][emoji23] ile mechi niliangalia nililia, natamani hata niingie kucheza na Mimi.
Kweli wana mpangilio safi kuchukua pale pale kwao mara nyingi sana lakini pia huchukua nje ya pale sana sana wenye umri mdogo kwa mfano kuna ma dogo wawili kutoka Ajax wanatua pale Juni hii.
Hili la Mane inawezekana pia anawatumia Bayern kuwapa presha Liverpool watoe mpunga design kama alivyofanya Henderson kusema anatakiwa na PSG Juni mwaka jana mwishowe akapewa mkataba mpya chap.
Lakini kama ni kweli Bayern wanamtaka Mane na FSG hawana mpango kumlipa 300k na kuliko aje kuodoka June 2023 bure basi tumchukue Gnabry. Hii ishu inafanana na ya Thiago tulivyompata akiwa amebaikisha msimu mmoja pale Bavarian.
YNWA
Mwaka jana na juzi sikufuatilia mpiraIlikuwa 2021 Quarter final.
Liverpool 0 Real Madrid 0
Real Madrid 3 Liverpool 1
Mara ya mwisho kukutana na kuitoa Liverpool
Niliwahi kusema kuna siku ubinafsi wa wachezaji fulani kama Sarah kutompa pasi Diaz utaigharimu timu, sasa ndicho kimetokea kwenye mechi yetu na Totteham[emoji3525]
Ukiangalia kiundani na kumfatilia mchezaji kila mmoja kwa wakati wake, utagundua wachezaji wote ni wabinafsi.
Mkuu,kuna muda huwa anapiga shuti za hivyo na anafunga tunashangilia hapa.
Salah anakosa magoli lakini mengine naona bado anayo kama expected shot bado yupo juu na threat pia kwa mabeki awepo uwanjani.
Ila haya mambo bhana kua winga na kufunga magoli kama afanyavyo dogo ni pure class.
Hopefully leo atatupia nisingependa akikose kile kiatu cha ufungaji bora kabisa.
YNWA
Watamlaumu Salah bure.Yani jamaa ameokota Clip ya Racist against African players anataka kutuaminisha ubaya wa Salah wakati ndiye Mchezaji mwenye assists nyingi Liverpool.
Mbona hao ambao sio wachoyo hawana hizo assists kama za Salah.
Hajui kuwa ubinafsi wa kutaka kufunga ndiyo tabia ya kila Mchezaji.
Pep anajijuya yeye so far ni failure pale City. Alicholetwa kufanya bado hajafanikiwa. EPL na other mickey mouse cups hata Mancini na Pellegrini waliibeba‘everyone in this country supports Liverpool, the media and everyone’ and then brought up the fact they have only won one Premier League title in the last three decades.
-PEP