Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,917
Mhmh bwana dogo hana consistent especially akiumia hua anachelewa sana kurudisha makali yake.Kwani Jota sio n.9 halisi?
Inaweza kutokea muujiza wakampa kama George Weah.Huyu anastahili, ila hatapewa kwakua n African, Lol.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kipara kavurugwo bhana.Nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Inaweza kutokea muujiza wakampa kama George Weah.
Muda utasema akapata mafanikio zaidi na kufunga magoli muhimu naona anaweza kupata chance hata ya kuingia 3 bora.
YNWA
Labda Top 3, ila tuzo hapati hata iweje.Inaweza kutokea muujiza wakampa kama George Weah.
Muda utasema akapata mafanikio zaidi na kufunga magoli muhimu naona anaweza kupata chance hata ya kuingia 3 bora.
YNWA
Tatizo Klopp atataka kubeba yote Kama Sir Furgie alivyofanyaga sijui msimu gani uko ..alibebaga FA,EPL na UEFA.Mkuu ndio maana mimi nashauri ni bora tuachane na Epl tuwe tunapumzisha wachezaji muhimu ili tupamba ne na FA na UCL.
Nimeona wengine wanasema hio tuzo ya writers angepata VVD au KDB.Umewahi kujiuliza kwanini MO Salah ndiye aliyepewa Tunzo ya Football Writer na sio Mane?
Hii inamana Salah ndiye Favourite wa Tunzo karibu zote msimu huu hasa ukiangalia Form ya Mane ni nusu ya pili ya Msimu huu After AFCON.
Aikose tu lakini ushindi wa jumla wa makombe uje kwetu inatosha.Labda Top 3, ila tuzo hapati hata iweje.
Acha kumfananisha Sir Alex Ferguson na vitu vya kijingajinga.Tatizo Klopp atataka kubeba yote Kama Sir Furgie alivyofanyaga sijui msimu gani uko ..alibebaga FA,EPL na UEFA.
Je, nyie mutaweza?