tuachane na ushabiki liverpool wanacheza soka la zaman krosi za kipumbavu kibao yaan whole match krosi na gonga za kuzugia
ebu ichek city wanavyopiga beautifal soccer yaan ni burudan tosha kuichek city wakicheza kabumbu tatizo guardiola much know sana km sane kampany yaya toure wangekuwepo kikosin adi leo nakuapia real madrid angechezea sita fodrn bado grealish bado strealing kasi imepungua
Mkuu hao ndio wanampa kiburi EPLKama wachezaji anaonunua kama grealish yule yatakuwa yale yale.
Tatizo timu yetu haina wachezaji wenye consistency kama City, leo wamoto kesho wabaridi, inabidi klop asajili wachezaji wenye class. EPL ni ngumu kuchukua kuliko UEFANext season Man City wanaweza kuwa na addition ya Haaland na Pogba na wengine.
Sio siri tumetengeneza Timu kwenye kipindi kibaya na kigumu kwani Pep anazidi kujenga mizizi ya Utawala wake.
Hii ligi ni ya Pep.
man city kapoteza mechi mbili tu fa na hii ya uclWewe ndio ujui mpira high line defense nayo ni mpira wakizamani.
Man U ndio anacheza mpira wakizamani ndio maana anafungwa kila siku. Wewe kuanzia msimu huu uanze utakuwa umeangalia mechi moja tu hiyo.
Liverpool anacheza mpira wa kisasa ndio maana anapata matokeo kila mechi mpaka saizi mashindano yote kafungwa mechi 3 wewe timu yako imefungwa mechi ngapi?
Haya tumekusikia, nenda kakojoe ulale.!man city kapoteza mechi mbili tu fa na hii ya ucl
liverpool anabutua lile soka lazaman
This s the spirit. Hakuna kuiongelea vibaya timuEPL is not over yet
Msikate tamaa wala msiongelee vibaya team!
Tuendelee kuwa karibu na team
man city kapoteza mechi mbili tu fa na hii ya ucl
liverpool anabutua lile soka lazaman
Timu yako ina soka la kisasa? Kama ndio, wako wapi kwenye ligi na UEFA?man city kapoteza mechi mbili tu fa na hii ya ucl
liverpool anabutua lile soka lazaman
Poleni, mkuu maana hamna mtakachoambulia msimu huu. Hiyo FA huna uwezo wa kutuzuiaMessage sent
Bado sana mkuu hii ligi matokeo kupinduka ni mechi moja tu.LIVERPOOL BINGWA na hamta amini.Klopp naomba asikilize maoni yangu, kwa sasa mechi ijayo apuumzishe wachezaji mhim kutokana na mechi ya Villarreal na Tottenham, Wachezaji wamechoka ili tuambulie hata FA na UCL. Kipara kwa sasa kumng'oa pale juu ni kazi aisee.
Hili kombe la kipara Mzee ... City mwenzenu ana cha kupoteza sahv hayupo FA , wala uefa ya kuiwazia ..hapo j5 klop anaweza akaumiza Kichwa kufanya rotation game ya Aston villa wkt city game yake yy anaweka bampa to bampa ...yaan mtegemee cjui wolves wawastopishe city sahauniB
Bado sana mkuu hii ligi matokeo kupinduka ni mechi moja tu.LIVERPOOL BINGWA na hamta amini.
Tatizo timu yetu haina wachezaji wenye consistency kama City, leo wamoto kesho wabaridi, inabidi klop asajili wachezaji wenye class. EPL ni ngumu kuchukua kuliko UEFA
Mwendo wetu epl tumemaliza tayari daah
Hongereni city maana jamaa wameanza kutoa dozi nzito
Kwa hio head to head ya fainali ime balance tumechukua moja na yeye moja sasa twakutana tena kuona nani zaidi.Carlo Ancelotti vs Liverpool kwa mara ya tatu 2005,2007 na sasa 2022.
Liverpool anamaliza msmu na kombe 1 tu
Liverpool mnaoongoza league lakini hamna raha