Wewe utakuwa shabiki wa manshitytuachane na ushabiki liverpool wanacheza soka la zaman krosi za kipumbavu kibao yaan whole match krosi na gonga za kuzugia
ebu ichek city wanavyopiga beautifal soccer yaan ni burudan tosha kuichek city wakicheza kabumbu tatizo guardiola much know sana km sane kampany yaya toure wangekuwepo kikosin adi leo nakuapia real madrid angechezea sita fodrn bado grealish bado strealing kasi imepungua
Pale juu wanajua muda wowote mwanaume anakuja kukaa na hawana amani kabisa [emoji28][emoji28]Liverpool mnaoongoza league lakini hamna raha
Mkuu achana na pep ,sio poa imagine madogo kama zincheko,foden ,stone ,ake ,anawapambanisha kwa miamba na majiba kama kina carvajal ,modric ,casemiro ,benzema na wanadominate game na kucontrol mchezo [emoji28] anaonesha kuwa mpira sio nguvu ni akili na team work kitu ambacho watu wengi hawajaelewa ..!tuachane na ushabiki liverpool wanacheza soka la zaman krosi za kipumbavu kibao yaan whole match krosi na gonga za kuzugia
ebu ichek city wanavyopiga beautifal soccer yaan ni burudan tosha kuichek city wakicheza kabumbu tatizo guardiola much know sana km sane kampany yaya toure wangekuwepo kikosin adi leo nakuapia real madrid angechezea sita fodrn bado grealish bado strealing kasi imepungua
huo mpira wa Guardiola ndio boaring sasa kama uliku hufaham mpira wa kisasa is about transions na fast attacks city wana beautify lakn ikiwa slow haina ladha am not liverpool fan lakin naichukia lakin na admire sana the way wana play jana nimeinjoy soccer very professional yaan wana wachezaji kama wana gundi mguuni fast passes na mtu apotezi kizembe technically wako poa sanatuachane na ushabiki liverpool wanacheza soka la zaman krosi za kipumbavu kibao yaan whole match krosi na gonga za kuzugia
ebu ichek city wanavyopiga beautifal soccer yaan ni burudan tosha kuichek city wakicheza kabumbu tatizo guardiola much know sana km sane kampany yaya toure wangekuwepo kikosin adi leo nakuapia real madrid angechezea sita fodrn bado grealish bado strealing kasi imepungua
Ndio,Jana kazingua tena sana.Huyu huyu Salah, Malaika wenu aliyewapa magoli mengi ndiyo leo kawa mbaya? Ama kweli binadamu hata umtendee mazuri kiasi gani ipo siku atasahau yote mema aliyotendewa[emoji2957][emoji2957][emoji2957].
Sijui kama unaelewa nachosema,What is tech ical secured? Kila mchezaji his not technically secured. That is nonses.
Spurs walichwza ile typical Conte style. Compact defense and counter attach. Any team ikichezewa hivyo with minimal ondividual errors opponent lazima wawe vulnerable. It is simple as that. Hata hao alina Mane na Salah uchezaji wao mbovu ni tunda la compact defense
apo ndio utajua binadamu tumegawanyika na mlikuwa mshachapwahuo mpira wa Guardiola ndio boaring sasa kama uliku hufaham mpira wa kisasa is about transions na fast attacks city wana beautify lakn ikiwa slow haina ladha am not liverpool fan lakin naichukia lakin na admire sana the way wana play jana nimeinjoy soccer very professional yaan wana wachezaji kama wana gundi mguuni fast passes na mtu apotezi kizembe technically wako poa sana
We ni Arsenal sio?tuachane na ushabiki liverpool wanacheza soka la zaman krosi za kipumbavu kibao yaan whole match krosi na gonga za kuzugia
ebu ichek city wanavyopiga beautifal soccer yaan ni burudan tosha kuichek city wakicheza kabumbu tatizo guardiola much know sana km sane kampany yaya toure wangekuwepo kikosin adi leo nakuapia real madrid angechezea sita fodrn bado grealish bado strealing kasi imepungua
Dua la kuku.Liverpool anamaliza msmu na kombe 1 tu
pep upo shida iko kule 11 kipindi sane upo city spidi tuliitumia kutengeneza chanve nying sana chengine k8zur pep apendi mabaunsa anataka wachezaji wepesi wanaoweza kuhama kila wanapotoa pasiMkuu achana na pep ,sio poa imagine madogo kama zincheko,foden ,stone ,ake ,anawapambanisha kwa miamba na majiba kama kina carvajal ,modric ,casemiro ,benzema na wanadominate game na kucontrol mchezo [emoji28] anaonesha kuwa mpira sio nguvu ni akili na team work kitu ambacho watu wengi hawajaelewa ..!
inafika hatua dunia inasema man city ni team ya watoto , watafute wazee na wakongwe ,lakin ball lake sio mchezo [emoji28]
Respect to pep ...!
Hivi hawa mbwiga mkuu huwa hawana jukwaa la kwao? Mbona wanakuja kujaa huku utafikri la kwao? Huyu jamaa anaudhi mkuu!
Hivi dam changa umpambanishe na wazee? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe sijui ushabiki wako uko wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787], haya sasa hao kina Foden walifunga goli ngapi?Mkuu achana na pep ,sio poa imagine madogo kama zincheko,foden ,stone ,ake ,anawapambanisha kwa miamba na majiba kama kina carvajal ,modric ,casemiro ,benzema na wanadominate game na kucontrol mchezo [emoji28] anaonesha kuwa mpira sio nguvu ni akili na team work kitu ambacho watu wengi hawajaelewa ..!
inafika hatua dunia inasema man city ni team ya watoto , watafute wazee na wakongwe ,lakin ball lake sio mchezo [emoji28]
Respect to pep ...!
tuachane na ushabiki liverpool wanacheza soka la zaman krosi za kipumbavu kibao yaan whole match krosi na gonga za kuzugia
ebu ichek city wanavyopiga beautifal soccer yaan ni burudan tosha kuichek city wakicheza kabumbu tatizo guardiola much know sana km sane kampany yaya toure wangekuwepo kikosin adi leo nakuapia real madrid angechezea sita fodrn bado grealish bado strealing kasi imepungua
What is tech ical secured? Kila mchezaji his not technically secured. That is nonses.
Spurs walichwza ile typical Conte style. Compact defense and counter attach. Any team ikichezewa hivyo with minimal ondividual errors opponent lazima wawe vulnerable. It is simple as that. Hata hao alina Mane na Salah uchezaji wao mbovu ni tunda la compact defense
yaan haki ya nan sane wa juzi juzi hapo miaka 19 unamleta jitu km gerald kichwa nazi kweli wwYani unamawazo ya kitoto sana very unprofessional.
Kwa Logic yako kama Liverpool mpaka leo ingekuwa na Steven Gerrard, Xabi Alonso, Suarez, Torres, Carragher na Javia Mascherano basi Spurs angekufa mapema sana.
ndio mi gooners saiv champion league inanukia [emoji39]We ni Arsenal sio?
Aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndio mi gooners saiv champion league inanukia [emoji39]
Yani unamawazo ya kitoto sana very unprofessional.
Kwa Logic yako kama Liverpool mpaka leo ingekuwa na Steven Gerrard, Xabi Alonso, Suarez, Torres, Carragher na Javia Mascherano basi Spurs angekufa mapema sana.