mazengo worriors
Member
- Aug 12, 2020
- 54
- 87
Kwahiyo unaamini kuwa kutolewa UCL pep alifanya bargaining na Madrid ndiyo akakubali,Mimi naamini kwamba hakuna kukubali ila ndiyo hivyo ukizidiwa tactics Basi kufungwa au kudroo Ni lazima siyo ombiRamli hapa itagonga mwamba maana pep hawez kubaru atolewe UCL na Epl asipambanie, hivyo imani kwangu imepotea aisee.
Ndugu yangu wewe kwenye mpira utanifunza nini! Kawadanganye mbumbumbu wenzio cheltakoUnabishana na mtu asiyejua mpira. Counter ni style ya mpira timu zote zinatumia
Defending wanayofanya spurs. Liver wakijitahidi no droo wataambulia
Kabisa mkuu, dah jamaa anatugharim sana.Binafsi wake sometimes unaicost team, sehemu ya kupress tu kwa mwenzake aliyeko kwenye position nzuri yeye anabutua njeeeee.
Kuna muda mpaka Mane alikuwa anamwonyesha kanisa wapi kwa kupass lakini jamaa akawa mkaidi.
We should killed this game at FH, wakati Spurs walipokuwa with tension kubwa kuliko kusubiria miracle.
So waya umekufikisha wapi? watu tunaongea fact we unalopoka mataputapu hapa.Mwache achukue kwaninkuna tatizo mbwiga? Wayaaaaa huko nyaning'we!
Ramli hapa itagonga mwamba maana pep hawez kubaru atolewe UCL na Epl asipambanie, hivyo imani kwangu imepotea aisee.
Wachawi wanaanza kutafutwa!Yaani kaniboa balaa au kwakuwa ni winger? Huu uchoyo kabisa na mechi nyingi jamaa huwa ni mchoyo sana.
Kabisa mkuu, dah jamaa anatugharim sana.
Nafikiri wewe Ni kichwa Cha panzi kabisa maana umesahau kuwa Villarreal ndiyo aliyemtoa mbabe wako wa miaka mitatu mfululizo ambaye Ni Bayern Munich kusahau kwako kunaonesha jinsi ulivyo empty brainHuwezi chukua CL kwa kupita njia za Europa league ,unawafunga villareal et CL[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unateseka mkuu, sisi tunaenda kumpasua kiroho mbaya hapohapo kwao na kina Nketiah & Saka.Spurs leo wamenifurahisha sana, hawa sasa ndio wa kwenda CL sio AsaniAli ambae unajua kabisa anatolewa kwenye mchujo wa makundi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] zigo la mavi leo anabebeshwa salah, mkubali pia na ukuta wa Spurs ulikua imara.Salah kwa sasa hayupo kwenye fom ila bado analazimisha, ni bora aendelee kutoa assist tu ila ndio hivyo ni mchoyo.
Maskini, poleni lakini!Hata wakati chelsea anaongoza ligi kwa points 4,walikuja na hizo kelele Tayari Chelsea bingwa,tusubirie ligi hiishe ndio wapige kelele Za kumpa mtu ubingwa.
Huu Ubingwa kila timu ulishawahi kupewa mpaka Man U na yeye walisema atachukua lakini tunavyoenda mambo yanabadilika.
Hatukimbiagi nyumba sisi hatujawa man city au ChelseaLivakuku wamekimbia nyumba [emoji38][emoji38]
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Salah kazingua sana leo hii kwa uchoyo, la sivyo hii mechi Liverpool wangeshinda mapema sana [emoji30]
Kwahiyo unaamini kuwa kutolewa UCL pep alifanya bargaining na Madrid ndiyo akakubali,Mimi naamini kwamba hakuna kukubali ila ndiyo hivyo ukizidiwa tactics Basi kufungwa au kudroo Ni lazima siyo ombi
Kamshahara mnakompa anajua kabisa mnamdhulumu kwa hio anaona ni bora apambanie mafanikio yake binafsi maana litimu analolitumikia ni la kinyonyaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna muda anapaswa kutambua kuwa mafanikio ya timu ni kipaumbele cha wengi kuliko mafaniko ya mtu binafsi.
Inaonekana mazingira aliyokulia ndiyo yanayofanya matusi kwake yawe Ni Jambo la kawaida usikute pia yeye ndiyo wale wale panya roadAcha matusi dogo UCL ulilokuwa unapambania umetolewa huna cha kutuambia.