Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Your browser is not able to display this video.


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Diaz na Thiago ni habari nyingine kabisa.

YNWA
 
Ubaguzi tu, since akiwa Barcelona. Kumbuka ndiye aliyemuuza Toure.
Aiseee
 
ifike mahali kijana ujitambue na uwe na akili ,yaani the boss wetu pep guradiloa awapigie magoti sijui huyo kikaragosi wa Yaya [emoji28][emoji28] hivi unatuonaje mzee ...!

Kiufupi sisi hatuamini katika huo ujinga ,hapa ni kuvunja kibubu kuchukua Β£300million na kuleta striker kama halaand,&DM kureplace frenandihno then tunaendeleza moto epl ...!

Kuhusu CL ni swala la muda tu , hatupangi sis muda wa kuchukua Hilo kombe
 
Hao wameitese Sana epl mpaka pep akasema ni league nyepesi Sana kama unavuka barabara...na Kuna talent nyingine zinakuja kuwin CL come down ...!
 
Kuanzia sasa atakua na maneno ya akiba zile bwebwe zote zimeisha jana.

Uefa ina wenyewe wa jipange tena msimu ujao.

YNWA
Kila msimu wajipange wanachokosa ni uzoefu na hawazijui figisu za UCL hawajui kabisa angalia hata MADRID walivyocheza hawakuwa na Papara nyingi wao walitumia nguvu nyingi mno



Hata Game yetu villa walijisahau kuwa hamna comeback inayofanywa ndani ya dk45 comeback hufanyika ndani ya dk90 wakaambulia kipigo kikali

Kingine walichokosa ni uzoefu tumewaadhibu kwa uzoefu wetu

Ukiangalia hata klop anavocheza UCL anacheza kizoefu kabisa hana Papara anafanya kazi yake kwa furaha sana


Madrid wajipange sana
 
Tutarajie msimu ujao Pep kumwaga kama paund 300m hivi maana si kwa hasira atakazokua nazo
 
Nikiangalia Vijana ambao waliangaliwa kama ni Hazina ya baadae πŸ‘‡

Solanke
Brewster
Harry Wilson
Danny Ings
Woodburn
Bobby Duncan
Hakuna hata mmoja kati ya hao tulioiona potential yake ambayo tulitegemea, hivyo siamini sana katika Vijana hawa wa Great Britain kwenye hizi Timu kubwa.

Kuhusu hawa Jones na Elliot ni swala la Muda tu kuondoshwa Liverpool, sijaamini kama watakuwa kwenye Project ya Liverpool.

Nikiangalia kwenye uwekezaji wa Vijana Van Den Berg na wengine hakuna hata mmoja tuliyefanikiwa! Hivyo siamini katika uwekezaji wa kununua Vijana bali hii ilikuwa ni Mkakati wa Kibiashara tu wa kununua na kuuza.
 
Jumamosi nyingine saafi
Tunaenda kukutana na Spurs ya Conte , haijalishi kama walishindwa kuchukua point 3 kwa akina morton, milner na jones basi leo wajiandae kwa kipigo.


Y.N.W.A
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…