Da nadhani kwaza huamini kilichotokea pili hujui ulie au ucheke tatu unatamani kua sisi...Match pekee aliyocheza ni ile 3-1 against Chelsea darajan , baada ya hapo hakuna alilokuwa anafanya na sio kwamba natamani liverpool Kuchukua CL ila Madrid Hana hadhi ya Kuchukua CL kwa mpira ule [emoji28]
Mkuu jana hamkua na siku bora kazini kwa mfano Ederson hua ana pass percentage ya zaidi asilimia 84 lakini jana mechi vs Real Madrid kipa wako alikua na pass percentage ya 50+,utaona vyema mlivyopoteana.Match pekee aliyocheza ni ile 3-1 against Chelsea darajan , baada ya hapo hakuna alilokuwa anafanya na sio kwamba natamani liverpool Kuchukua CL ila Madrid Hana hadhi ya Kuchukua CL kwa mpira ule [emoji28]
Everton [emoji1][emoji1][emoji1]Mkuu jana hamkua na siku bora kazini kwa mfano Ederson hua ana pass percentage ya zaidi asilimia 84 lakini jana mechi vs Real Madrid kipa wako alikua na pass percentage ya 50+,utaona vyema mlivyopoteana.
Jana ni mechi ya pili msimu huu mmeacha your usual basic ambacho ni compactness kuanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho jana ilifika mahala mipira yote ni mirefu tu na hapo Carlo akasema ewaa na wataka hapa hapa niwaonyeshe kazi.
Kwenye mpira ndugu never lose your identity ambayo imekuletea mafanikio makubwa sana lakini huo mpira wa kuanzia dakika 60 sio mpira wenu kabisaaa mliiga sijui wapi
YNWA
Kufungwo semi faino inauma sana acha kabisa ndugu yaaani wenyewe walishanusa kombe lile la kwanza UCL lakini kumbe Cigar man alikua na jambo lake.Pain killer has killed by pain
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuanzia sasa atakua na maneno ya akiba zile bwebwe zote zimeisha jana.Nlimwambia akabisha hakunisikia aliona kama vile timu yake ni bora sana akasahau kuwa wale ni los Blanco's
Ilikuwa fainali ya 2011...View attachment 2213126
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Malipo ni hapa hapa duniani huyu Kipara kawaonea sana wazee wetu Fergie na Wenger sasa ni wakati wake apate maumivu .
Nakumbuka kuna mechi moja babu Fergie almanusra apate stroke maana alipigiwa soka moja hatari sanaaa...
YNWA
CL sio taji la kulilia mzee ,litakuja lenyewe tu
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈSasa malipo ndio anayapata kibingwa hapa hapa duniani juzi babu Fergie kalaa usiku mwanana sana maana anajua the noisy neighbour alipigika hukooo Madrid.Ilikuwa fainali ya 2011...
CL sio taji la kulilia mzee ,litakuja lenyewe tu