Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Absolutely right!
 
Tatizo unajenga hoja kwa uelewa wako, wakati huko juu umeshajibiwa kiprofessional jinsi Game plan zilivyokuwa uwanjani mpaka tukapata ushindi.

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Sasa nijenge hoja ya mtu? najenga hoja kwa maono yangu haina maana kuwa mimi niko sawa wala haina maana wewe uko sawa, ukianza kuona wewe uko sawa juu ya wengine huo sasa ndio ubishi. Maoni yanatolewa kwa uelewa wako sio ku copy na paste mtu. Kuna watu watakubaliana na mimi na kuna wataona siko sawa, Mimi sio mchambuzi wa soka mimi ni mpenzi wa Liver na natoa maoni yangu based na mechi sina majumuisho ya kijumla mechi ikiisha natoa maoni yangu. Kuna watu wameona shida alikuwa Thiago, kuna wengine Keita na wengine Full backs ndio raha ya mpira sasa sote tukiwa na maoni sawa hapo ujuwe kuna shida.
 


Ohh dear jana Robertson was abit off hakua na siku nzuri kazini kabisaaaa and its well accepted maana this Scottish boy always gives his all hivyo seems jana he was off the hook to prevent those goals on another day am positive the outcome will be different.

Now he relax Conte is in town this Saturday we go again.

YNWA
 
Tatizo unajenga hoja kwa uelewa wako, wakati huko juu umeshajibiwa kiprofessional jinsi Game plan zilivyokuwa uwanjani mpaka tukapata ushindi.

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Hapa sote ni watu wa Liverpool ndio utakuta kuna mtu ana like na kukubaliana na mimi lakini wako wanapita na wanatoa maoni yao ila mwisho wa siku tunakipenda kitu kimoja na team ikishinda tunafurahi pamoja hata wachezaji wa Liver waki,aliza game kwenye media wanahojiwa wengi na wote wanatoa tathmini zao sio kitu kibaya. Vinginevyo angeongea Manager tu au captain basi.
 


The Destroyer In Chief 🀣🀣🀣🀣🀣πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

YNWA
 
Mkuu kuna watu wanahisi maoni yao ndio hali halisi. Ilivyotolewa list ya wachezaji kabla game kuanza nikatoa maoni yangu ni bora angeanza diaz badala ya jota na nikasema Diaz ni msumbufu balaa kuna mtu akanijibu eti hatutaki usumbufu tunataka ushindi sasa sijui alielewa nini nilivyosema msumbufu
 

Hapa kuna shida sehemu! Mimi naishia hapa.
 



🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣Mane need his contract yaaani anasema lets the goals do the talking sasa amerahisisha kazi kwa wakala wake maana ana magoli muhimu sana msimu huu.

Apewe miaka 2 na 1 optional hakuna namna anazeeka kama mvinyo wa kirusi getting better and deadly with age.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…