Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Mkuu washa panic aisee Klopp ana kazi ngumu sana kuwatuliza kwanza na gemu plan mpya maana ya kipindi cha kwanza imefeli kabisaaa.Liverpunga tulieni game bado
Hao jamaa yanapigwa na liver utaona hawawezi kumaliza game washachoka hapo hato dk 70 na kitu wanakula baoMkuu washa panic aisee Klopp ana kazi ngumu sana kuwatuliza kwanza na gemu plan mpya maana ya kipindi cha kwanza imefeli kabisaaa.
Hizi klabu za Spain wanajua sana kucheza na refa yaani wakigiswa kidogo tu chini na uwanja leo umeteleza balaa hivyo hata long pass ni ishu..
Ngoja tuone 2nd half who will blink 1st.
YNWA
Diaz kule ni msumbufu sana,mabeki wameshachokaLuiz Dias alitaka kucheza kikolombia nini?
Wapo hoi bin taabani.Wamechoka [emoji3]
Maneeeeeeeeeee.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] IMAGINE BEING US, diaz mtu mbad