Pesa za mafuta zimetuletea washabiki wa ajabu sana kwenye soka.Siki zote nyani halioni kundule ,unakuja kuongelea city ambaye kampiga Leeds goli 4 et ana struggle,wakati wewe Newcastle kakushika umetoka na goli moja 1 ,wewe wa goli moja hujastruggle ila aliyefunga goli 4 amestruggle [emoji1787][emoji1787],hivi kweli unaangaliaga mpira wewe ,unajua hakuna game nyepesi ???? Au unaagalia LiveScore matokeo [emoji1787][emoji1787] ,kama city ile game amestruggle je liverpool na Newcastle utasemaje ???mashabiki wote wa Liverpool wameangalia hii game wanatetemeka na kutamani mpira uishe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado timu yako huioni kama inaweza kupoteza kwa Spurs ambaye anataka top four ,unakuja kutafuta matumaini kwa wolves ambayo game 5 hajapata ushindi wowote ,et unataka westham ambaye jana kagongwa na arsenal ambayo haikuwa kwenye form aje amfunge city [emoji1787][emoji1787][emoji1787] subili tumalize uefa ndio utaiona sura halisi ya city epl [emoji28],hakuna mbwa atakatiza nakwambia ...!
Mbaya zaidi unaona wolves ni wazuri Sana wanaweza kumfunga city ila wewe hawawezi kukufunga [emoji1787][emoji1787][emoji1787] au hujui kama ina game na wolves? Kaangalie game na wolves round ya kwanza ulitokaje kabla hujasema city tulishinda ushindi mwembamba wa penalty na wolves round ya kwanza , mashabiki wa liverpool wanaojua mpira wametulia kabisa kuhusu hii show ,sio kwamba wameshindwa kujitokeza kusema watachukua makombe manne ila wanajua mpira ulivo ,na match ilivo [emoji28][emoji28]
Mimi nasema hivi hakuna mbwa yeyote atakayebaki salama akikutana na city mpaka may 22 ni kusambaza kipigo cha mbwa Koko mwendo wa 3+ goal mpaka wabweke bweeeee bweeeee bweeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ndio mjinga kupangie timu nyingine kupoteza huku hujielewi kama wewe mwenyewe Spurs anaweza kukunyonyoa weekend hii [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Pesa za mafuta zimetuletea washabiki wa ajabu sana kwenye soka.
Sijui kwanini washabiki wa Manchester city na Chelsea wengi wao wanaendeshwa na mihemuko. Kijana Kama soka umeanza kuangalia juzi basi jitahidi uwe unakaa kimya unajifunza vitu, kwenye historia ya soka zimetokea mirracle nyingi sana pengine hata huzifahamu na ndio maana umekuwa mropokaji.
Man cty nae yupo UCL? hivi ni lini huyu alibeba kombe la UCL?Wazee wa Europa naona mnacheza Leo .....
Maana uefa ni kesho
Real Madrid Vs Manchester city
Hayo mengine ni wastage of time
Game yenu Haina mvuto ,yaani watu waache kusherekea sikukuu et waangalie Europa [emoji28][emoji28]Man cty nae yupo UCL? hivi ni lini huyu alibeba kombe la UCL?
hii game ilikua kabla ya Gerald kuslip au baada!?Captain Marvelous hii nightmare bado inaniwinda mpaka leo hii nisiwe muongo.View attachment 2209503
Wakati tunacheza na Arsenal ugenini ulikuwa upande wao saiv umehamia Spurs kisa alikunyonyoa wewe? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mda utasema tu This is [emoji239]Wewe ndio mjinga kupangie timu nyingine kupoteza huku hujielewi kama wewe mwenyewe Spurs anaweza kukunyonyoa weekend hii [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ilikuwa kabla , chelsea ni kama alikuja kumalizia kuzamisha msumari kwenye utosi.hii game ilikua kabla ya Gerald kuslip au baada!?
Yaaani BARDIZBAH hapa ubingwa tuliunusa 🤣🤣🤣akaingia yule dogo Dwight Gayle ndani ya dakika 11 tukawa tumepigika na ngoma kuishia sare ambayo kimsingi ilikua ni kama tumepoteza ile gemu kocha wa Palace babu Pulis hakua na maneno mengi zaidi ya kicheko yaaani vijana wetu waliumia sana akiwemo Surez alilia wazi wazi kwani mpaka pale ilionekane basi tena ubingwa.Captain Marvelous hii nightmare bado inaniwinda mpaka leo hii nisiwe muongo.View attachment 2209503
Msimu wa 2014-2015 mzunguko wa pili hizo timu mbili Aston Villa na Westham walipigika na Manchester City tuombe sana hakika historia isijirudie tena.Mwenyewe nahisi Man CTY anaweza kupoteza points kwa Wolverhampton au West ham maana hizo team zitakuwa zinagombania kucheza Europa
Yah tulipokosa ile EPL mpaka nikaanza kuamini hatutopata EPL kwa miaka ya karibuni , oh mungu si Athuman brendan akaachia njia akaja JK mtetezi wetu. Ila me naona kama Ken Daglish pia alituchelewesha kiasi maana alijaza timu yenye waingereza wenye viwango vya kupapasa.Yaaani BARDIZBAH hapa ubingwa tuliunusa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]akaingia yule dogo Dwight Gayle ndani ya dakika 11 tukawa tumepigika na ngoma kuishia sare ambayo kimsingi ilikua ni kama tumepoteza ile gemu kocha wa Palace babu Pulis hakua na maneno mengi zaidi ya kicheko yaaani vijana wetu waliumia sana akiwemo Surez alilia wazi wazi kwani mpaka pale ilionekane basi tena ubingwa.
Refa alikua Clattenbag na alitunyima penati nadhani mbili ile gemu kingine ilikua kikosi dhaifu sana japo tulikimbizana na Ethad boys lakini ilikua individual brilliance ya Surez, Sturidge na Gerrard msimu ule walikua motoo huku dogo Sterling na Coutinho nao waki shine.
Tofauti ya kipindi kile na sasa pia na kua na solid keeper ambae anawapa confidence mabeki hata kwenye 1 vs. 1 Allison yupo makini sana. Ametuokoa mara nyingi sana na haya mambo ya high line ndio kabisaaaaa. Pia mabeki sasa sio tena kiwango cha kuungaunga akina Sakho nk sasa tuna beki bora duniani VVD anawafanya anaocheza nao pia kua bora.
Ile gemu itabaki kwenye vichwa vyetu kwa muda mrefu sana ndugu yangu yaaaaani.
Ajabu sio Gayle wala Pulis baada ya pale ku shine walififia hukoooo.
Asante Klopp kwa kutufuta machozi yale maana kwa sasa mipango inaonekana kilichobakia sasa ni ubao wa makombe upendeze.
YNWA
Na ndio ilikua hofu yangu ndugu kwamba akija Stev G atatujazia Waingereza pale Anfield yaaani Klopp kusaini nyongeza mbona tumeokolewa parefu sanaaaa.Yah tulipokosa ile EPL mpaka nikaanza kuamini hatutopata EPL kwa miaka ya karibuni , oh mungu si Athuman brendan akaachia njia akaja JK mtetezi wetu. Ila me naona kama Ken Daglish pia alituchelewesha kiasi maana alijaza timu yenye waingereza wenye viwango vya kupapasa.
SG awe hero zaid atusaidie kuisimamisha City msimu huu tumpe na medal yake[emoji23]
Kama mlishindwa kumfunga city Epl mnategemea nani amfunge? Mtasubiri sana Kila mtu ashinde mechi zake ndio kilichobakiPesa za mafuta zimetuletea washabiki wa ajabu sana kwenye soka.
Sijui kwanini washabiki wa Manchester city na Chelsea wengi wao wanaendeshwa na mihemuko. Kijana Kama soka umeanza kuangalia juzi basi jitahidi uwe unakaa kimya unajifunza vitu, kwenye historia ya soka zimetokea mirracle nyingi sana pengine hata huzifahamu na ndio maana umekuwa mropokaji.
Umetokwa na povu la sabuni ya doffi ila tutarudi hapa.Siki zote nyani halioni kundule ,unakuja kuongelea city ambaye kampiga Leeds goli 4 et ana struggle,wakati wewe Newcastle kakushika umetoka na goli moja 1 ,wewe wa goli moja hujastruggle ila aliyefunga goli 4 amestruggle [emoji1787][emoji1787],hivi kweli unaangaliaga mpira wewe ,unajua hakuna game nyepesi ???? Au unaagalia LiveScore matokeo [emoji1787][emoji1787] ,kama city ile game amestruggle je liverpool na Newcastle utasemaje ???mashabiki wote wa Liverpool wameangalia hii game wanatetemeka na kutamani mpira uishe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]