Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Your browser is not able to display this video.


Tunatua namna hii pale Yellow submarine 🀭🀭🀭🀭🀣🀣🀣🀣

YNWA
 
Sorry, Washabiki wenzangu naomba kiwauliza! Hivi ni kweli kuna Mtu alitegemea Leeds United amzuie Man City?

Manake nimepitia baadhi ya comments nahisi kulikuwa na kitu kama False hope kuwa Leeds atamzuia Man City.

Hapana mkuu,hope iliyopo ni Kwa wolves man city anaenda nyumbani Kwa wolves na mechi ya kwanza city alishinda goli moja la penalty Na wolves walicheza pungufu na ilionekana kabisa city kabebwa.

Sasa nyumbani Kwa wolves pale tunaamini city hawata chomoka.tofauti na hapo hakuna timu nyingine.
 
Hakuna timu mbovu kwa Sasa kama wolves ,yaani ni kujipigia tu .....labda kidogo westham
 
Inapofika kwenye eneo la ufungaji kila mtu anataka pasi kutoka kwa Luis Dias, lakini mwisho wa siku kwenye eneo hilo hilo yeye hawampi pasi!

Klop atalazimika kuongea na wachezaji ili kukemea kuhusu hilo, bila kufanya hivyo jambo hilo litaweza kuigharimu timu huko mbeleni...[emoji3525]
 


Huyu dogo ndio kwanza ana miaka 22 yaaani akitua mbona pale kati patanoga sana huku akipata somo kwa vitendo kutoka kwa MF maestro Thiago na Fabinho hakika Klopp ame renew kwa kua uhahika upo wa kujenga upya kikosi cha ushindani na kuzoa makombe kwa miaka mingi ijayo.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…